ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Watu wanamna hii ndiyo wanakufaga maskini hawezi kupata utajiri hata wa bahati mbaya.Kama ulimaliza form four (F4) mwaka 1990 na bado unatafuta ajira serikalini aisee jitathmini, kuna sehemu hukuwajibika ipasavyo.
Hapo unaweza kukuta bado anakaa kwao anasubiri urithi ila Wanyaki aisee mnaboa sanaWatu wanamna hii ndiyo wanakufaga maskini hawezi kupata utajiri hata wa bahati mbaya.
Wewe umeongeaJaman mnaomshangaa huyu mwenzetu, sizani kama hana kaz bwana, ila kuna kubadilisha sehemu ya kaz, unakuta sehemu nyingne wametangaza wanahitaji meneja au mkurugenz kwahyo asi apply?
Jamani anaejua taratibu za kufuata atueleze basi maana naona mada inahamia kwa aliye maliza shule miaka ya 1990.Wewe umeongea
Nini cha ajabu? Hadi Leo hamuwashangai akina
George mkuchika
Anna abdalah
Makinda
Na wengine wengi hawa mpaka Leo wanapiga mzigo serikalini na wameanza ajira hata kabla Mimi sijazaliwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Electronic bongo bado sana. Ushahidi ni NIDANi changamoto Kubwa..... Mifumo ya Ki electronic haina msaada kwa Wazee wa NECTA..... something is very wrong ...tuombe SIKU uncle MAGU apite kuwahoji...ndio watajiongeza.... kama wangekuwa smart...hii ilikuwa ni njia ya kuongeza mapato...wanaopoteza vyeti ...wangeandaa utaratibu mzuri wa ku confirm their identity then wawape vingine kwa gharama fulani yenye maslahi kwao.... sasa waajiriwa wa NECTA they solely relay on TAX payers money as results wamekuwa BONGO LALA