Tuliopanga ku-apply for non-degree courses ( certificate&diploma) karibuni

advocate kiza

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
261
90
Habari, Kwa mujibu wa ratiba ya necta, Maombi yanataanza kutumwa kuanzia 15/5 kwa mwaka wa masomo 2019/2020,

Hivyo kwa wenzangu tuliopanga kutuma maombi kwa kada tofaouti tofauti kama vile
PHARMACY
LAW
COMMUNITY DEVELOPMENT
COMMUNITY HEALTH
N,K

Tujuane tupeane TIPS, na more informations ,
 
Back
Top Bottom