Hawa wa chadema aslia vs chadema pesa tunawajuwa.wapo wengine ndani ccm.lakini wapo wengine wamefichama nyuma ya pazia!kwa kweli vyombo vya JK havitutendei haki waTz pamoja na kwamba wanachi tunakamliwa mno for their wellbeing!JPM fanya kweli ili hata hili lundo la vijana waelewe enzi za JKN ulikuwa siyo wa ku-jog,ko-pool na viroba!