Tuliokosa Mkopo, UDOM CoED

Tuliokosa Mkopo, UDOM CoED

fieldmashal

Member
Joined
Nov 22, 2015
Posts
78
Reaction score
3
Mimi naliita hili la heslb kuwanyima mkopo wanafunzi wanaoendelea kuwa ni janga la kitaifa naiomba serekali itangaze hali ya hatari na kuwafuta kazi Mara moja watumishi wote wa bodi ya mikopo na kutangaza dau kwa wawekezaji wengine watakao hakikisha kila mwanafunzi anapata mkopo kama alivyo ahidi mh magufuli wakati wa kampeni zake. Mwaka jana tumeteseka sana ila baadhi yetu tulikuwa na imani kuwa mwaka huu watatupa mikopo lakini hadi sasa hali ni tete sana, usajiri hatujafanya kwan hali ni mbaya sana, inauma sana kuwaona wanafunzi wenzangu wanaenda ujac kupata chochote kitu huku mimi sina uhakika wa kula nataman kujiunga na alishababo tuivamie bodi ya mikopo tukakatekate watumishi wote wa bodi cha kufanya wana udom wote hasa wana wa coed tuwe kitu kimoja tukutane hapa.
 
Do yan ni tabu tupu
Jamani mimi niko tayari kufa kwa manufaa ya
wengi naombeni kwa yeyote yule anayemiliki
bunduki anipe kesho niingie bodi ya mikopo pale
mwenge nikafanye kazi za kijeshi najuwa ata
wakibahatika kuniuwa mimi ninyi ndugu zangu
mtakaobaki watawapa mkopo kupitia kifo changu
naomben sapoti yenu nifanye kazi.
 
Am the one! Mpaka mda huu sijui ni lini ntapata ada! Vipi mmeenda kuuliza utaratibu kwa loan officer? Bado niko nje ya chuo natafuta ada kwa tochi!
 
Kuna ubaguzi mkubwa wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa continue ambapo bodi inatoa mikopo kwa upendeleo na kujuana kwa kuwaacha wanafunzi ambao ni yatima (orphan) ,walemavu na wanaosoma priority kozi....kwa uchunguzi niliofanya kwa chuoni kwangu nimegundua wanafunzi asilima 50+ ya continue waliopewa mkopo kwa sasa hivi ni watu wanaosoma kozi ambazo si za priority na hawana vigezo vyovyote vinavyowafanya wapewe mkopo, huku kukiwa na wanafunzi wengi wanaosoma kozi za priority, yatima na walemavu wakikosa mkopo, kwa sasa ni vyema bodi ikafanyiwa uchunguzi.na hii sio kwa chuo changu tuu maana hata nilivyojarbu kuwauliza wanafunzi wa vyuo vingne pale bodi nilipata majibu haya haya, .ni vyema mheshimiwa magufuli au waziri mkuu au katibu mkuu kiongozi akaangalie jipu Hili pale bodi.Na pale bodi ya mikopo mkurugenzi wao uwa hataki hata wanafunzi wamfikie ili watoe kero zao kama agizo la mheshimiwa linavyosema watendaji wa serikali wasikilize kero za wanaowahudumia sio kukaa tu ofisi na kula mshahara pia kwa masikio yangu nimemsikia mkurugenzi mkuu wa bodi ataki hata kuwaona wanafunzi wakfika kuongea na maoficer wa bodi ili wajue hatma yao yeye anataka waishie kwa customer care na walinzi watu ambao hata hawawezi kukusaidia..bodii ya mikopo ni jipu kubwa sanaaa litumbuliwe ili kuokoa wanafunzi maskini wa kitanzania.
 
KHAAAAAA....!!! Hiv hawa heslb si wawape mikopooo tuuuu daaaaah... hii nchi kila mtu anataka kula cha masikini
 
Mi nimemaliza Hapo UDOM,kuna siku jina halikuja,nikaanza kufuatilia Bodi,!!!aisee,hakuna taasisi yenye utendaji mbovu kama bod,wanamajib mabovu na ya kuudhi sana,unamweleza MTU tatizo ye anasoma gazet,mwisho anakuuliza ulikuwa unasemaje,nilihangaika sana skupat mpaka namaliza chuo,ningekuwa na uwezo ile Bodi ningeifumua na kuchunguza CV za wafanyakaz,inauma sana,utakuta wanasiasa wanasema kili mtu atapata mkopo,kuna mda mwingine MTU anasema walioomba mkopo wote wamepata,wakat wanafunz weng utakuta wamekosa,Hovyoooo!Bodi ya Mikopo ndo jipu kubwa kuliko yote!
 
kweli kabisa
 
njoo hapa kwa mwafrika tugawane umasikini mdogo wangu.au kama vp twende ujasi.

HV auncle Magu anangoja mini kuhusu hili jipu LA HESLB??
 
tunamuomba JpM atembelee bodi haone tu wanafunzi wanavyoudhuria bodi utafikiri lecture pasipo msaada wowote.
 
ni kweli kabisa naungana na ww,mm pia nko udom kuna rafk yangu jina halijatoka kwenye boom ila ada limetoka.
 
nimesikia itv mkurugenzi nacte katangaza wote walioomba wamepata ila kweli kuna walioomba hawajapata sasa sielewiiii
 
Mi nimemaliza Hapo UDOM,kuna siku jina halikuja,nikaanza kufuatilia Bodi,!!!aisee,hakuna taasisi yenye utendaji mbovu kama bod,wanamajib mabovu na ya kuudhi sana,unamweleza MTU tatizo ye anasoma gazet,mwisho anakuuliza ulikuwa unasemaje,nilihangaika sana skupat mpaka namaliza chuo,ningekuwa na uwezo ile Bodi ningeifumua na kuchunguza CV za wafanyakaz,inauma sana,utakuta wanasiasa wanasema kili mtu atapata mkopo,kuna mda mwingine MTU anasema walioomba mkopo wote wamepata,wakat wanafunz weng utakuta wamekosa,Hovyoooo!Bodi ya Mikopo ndo jipu kubwa kuliko yote!

kweli kabisa namtafta magufuli personallly atumbue hili jipu
 
nimesikia itv mkurugenzi nacte katangaza wote walioomba wamepata ila kweli kuna walioomba hawajapata sasa sielewiiii
Wajinga sana watu wanaojipendekeza kwa RAIS et mkurugenzi wa NACTE kawa msemaje wa bodi,et wrote walioomba wamepata,anajua maangaiko wanayopata waliokosa mkopo,kama VP watoe tangazo kuwa waliokosa wote waende bodi uone kama patatosha,inauma sana,unaweza kutukana MTU anavyoongea huk anatabasamu kwenye TV,hoovyoooo!
 
Back
Top Bottom