Tulioishi kotaz za polisi, magereza, jwtz na majeshi mengine Tuelezane maisha kwa ujumla yalikuwaje.
mimi binafsi nimeishi kotaz za JW kama ujuavyo kuna kotaz za maofisa na wale wachini. Nilikuwa mjanja mjanja kumega watoto wa wajeshi. Nakumbuka siku moja niliitwa kambini kwa mashtaka wamama wanalalamika watoto wao nawapotezea muda kwa kuwalaghai nikapewa onyo la mwisho next time mashtaka yakija nafukuzwa..
Samahan mkuu kwa kuwaingilia mimi nimeish kwenye kotaz za wafuga fisi maana bibi yangu alikuwaga na mafisi mengi sana hivyo alikuwaga amepangana na wafuga fisi wenzie
Kotazi za Tanzania nazo unajisifia uliishi kotazi kotazi kama vibanda umiza vya mama ntilie siku mzee wako akisitafu mnafungasha virago kama wakimbizi mitoto ya kotazi maandazi kweli likubwa lizima unakuta limebanana kotazi na wazazi linasubiri ugali wa shikamoo shubaaamitt!