Tulioishi kotaz (watoto wa kotazi) tukutane hapa

Pablo

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,441
2,541
Tulioishi kotaz za polisi, magereza, jwtz na majeshi mengine Tuelezane maisha kwa ujumla yalikuwaje.

mimi binafsi nimeishi kotaz za JW kama ujuavyo kuna kotaz za maofisa na wale wachini. Nilikuwa mjanja mjanja kumega watoto wa wajeshi. Nakumbuka siku moja niliitwa kambini kwa mashtaka wamama wanalalamika watoto wao nawapotezea muda kwa kuwalaghai nikapewa onyo la mwisho next time mashtaka yakija nafukuzwa..

Karibuni wadau tukumbushane tulipotokea.
 
Samahan mkuu kwa kuwaingilia mimi nimeish kwenye kotaz za wafuga fisi maana bibi yangu alikuwaga na mafisi mengi sana hivyo alikuwaga amepangana na wafuga fisi wenzie
 
Screenshot_20171029-223844.png
nakumbuka mabeki 3 wa kotazi wanaletwa kutoka vijijini tena anakuwa mtoto wa shangazi au ndugu yoyote pale kotazi na hizi ndizo pigo zao.
 
Kotazi za Tanzania nazo unajisifia uliishi kotazi kotazi kama vibanda umiza vya mama ntilie siku mzee wako akisitafu mnafungasha virago kama wakimbizi mitoto ya kotazi maandazi kweli likubwa lizima unakuta limebanana kotazi na wazazi linasubiri ugali wa shikamoo shubaaamitt!
 
Sasa boss kama baba yako anaishi kotaz ww unataka ukaishi wapi? Lazima makalio yako yatabaki hapo hapo..hadi pale mzee ata staffu ..
 
Niliishi oysterbay kotaz za police kwa muda sina nachokumbuka ila ni lili jumber la mabati a.k.a bangaroo.
Hizi nyumba za bati hadi barracks pale kilwa zipo. ILa ndo za bure utafanyaje sasa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom