dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,403
- 19,424
wapo kibao ila inabid ujiandae kisaikolojia kama ukirusha ndoano siunajua wajedaVipi watoto wazuri wanapatikana hapo?
wapo kibao ila inabid ujiandae kisaikolojia kama ukirusha ndoano siunajua wajedaVipi watoto wazuri wanapatikana hapo?
Ngoma wanaimba na kuzicheza wenyewe ...watoto wa kota zote wanalaana flani hivi
Uliishi mwaka gn hapo?!Niliishi oysterbay kotaz za police kwa muda sina nachokumbuka ila ni lili jumber la mabati a.k.a bangaroo.
2007 hadi 2010Uliishi mwaka gn hapo?!
Hahahaaa upo sahihi kabisa mkubwa. Umalaya wao. Ugomvi wao. Mtungo wao..kila kitu wapohakuna watoto wana matusi kama watoto wa Kota za polisi. Ukiwakuta mpirani siku hiyo lazima zipigwe, halafu sasa watoto wa kike wa kota wana wakati mgumu kweli. Utakuta vijamaa vinapeana zamu kumtongoza tu. Akikataa hapo ndio anaundiwa tume. siku akimkubali mmoja tu, mtungo unamhusu.
watoto wa kota mnatuuliza kuhusu isidingo, nsituletee zenu mkija tutawadandia shingo. -Suma G, -Vituko Uswahilini.
Umehama mwaka gan mkuu???mwenge magorofani ndio nimeish hapo
Hahahahaha muro umenikumbusha hii kitu ilikuwa kawaida sana hasa tukienda kucheza mpira.Mimi pia niliishi kota....ninachokumbuka...tulikuwa tunaanzisha ugomvi mtaani, ugomvi ukitushinda tunawavutia/tunakimbilia karibu na kota zetu...na wale tulio kuwa tunagombana nao walikuwa wanatukimbiza hadi kota...sasa wale ambao tumewachokoza walikuwa hawawezi kuwatambua askari walio vaa kiraia...ugomvi utaendelea mwisho askari waliovaa kiraia wanakuja kutusaidia kwa kuwapiga viboko na vijana wengine wa mtaani wanakamatwa kwa kosa la kuvamia kota za polisi....
Siku moja mkuu wa kituo ambaye ndie aliyekuwa anatoa oda tusaidiwe katika ugomvi ambao sisi ndio tulikuwa wachokozi...alihamishwa akaja mkuu wa kituo mwingine ambaye siku anakuja alikuta ugomvi kama kawaida watoto wa kota tumechokoza watoto wa mtaani tumeuhamishia ugomvi kota ....watoto wa mtaani wakatufuata hadi kota...mkuu wa kota akawakataza askari wakota ambao walikuwa ni wazazi wasije kusaidia ule ugomvi na mbaya zaidi walifunga milango ya kuingilia ndani...kila mtoto aliethubutu kukimbilia kwao pale kota alikuta milango imefungwa...mimi pia nilikimbilia nyumbani nikakuta milango imefungwa ya kuingilia ndani vita ile ilihusisha mawe na ngumi za ana kwa ana...tulitembezewa kichapo na wale watoto wa mtaani pale pale kota tukawa hatuna pakukimbilia...mimi nilipigwa jiwe la kichwa damu zilichuruzika mithiri ya kuku aliechinjwa.....siku hiyo tulipigwa sana na watoto wa mtaani hadi jioni vitailiendelea pale pale kota lakini hakuna askari aliyethubutu kuja kugombelezea...baadaye mida ya saa 2 ugomvi ulitulia kila mmoja alikuwa anawaza jinsi atakavyo ingia ndani kwao.....