Tuliochaguliwa vyuo vikuu

Rahibu

New Member
Joined
Sep 25, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Jamani kama kuna anayejua tarehe ya kuwasili chuo kikuu cha UDSM tuhabarishane.

Na je chuo tunahitajika kwenda na result slip ya form six au cheti??!
 
jamani kama kuna anayejua tarehe ya kuwasili chuo kikuu cha UDSM tuhabarishane
Na je chuo tunahitajika kwenda na result slip ya form six au cheti??!
Tar 29,lazma uende na result slip ya form six ndg!!
 
Kuna mwenzako amedisco ,juzi kaanzisha uzi wa kulia lia humu tumshauri na alikuja na mbwe mbwe kama zako.


Vijana someni acheni sifa za kijinga.
 
Kuna mwenzako amedisco ,juzi kaanzisha uzi wa kulia lia humu tumshauri na alikuja na mbwe mbwe kama zako.


Vijana someni acheni sifa za kijinga.
Bora umemwambia maana Hawa madogo ndo zao ila wajue Chuo s kulala lala tu, zile bata walizoambiwa ni Sup, Carry over na Mwishowe Disco
 
Hahaaaa karibu udsm, chuo cha bataa tu, tukutane mliman city na kina bashite akiwa anawakaribisha kwenye jiji lake,
 
Kumbe kuna vinuka maziwa humu wamo, ndio maana JF ina thiredi za ajabu sana siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…