Unajidanganya ww dar ndo mpango
Unamaanisha nini unaposema 3 za mwisho na thibitisha kwa ushahidi kuwa UD wanachukua div 1 tu. Kwanini waliweka minimum admission points 5 from three subjects kwa masomo ya arts sheria ikiwemo na rafiki yangu 3.13 kachaguliwa hapo Udsm?St.agustine wanachukua hadi 3 za mwisho law akati ud mwisho 1
Ni kweli kwasababu hatakuwa na sifa stahiki za kusoma pale, umemsaidia vizuri sana Mkuu.pale saut nimeshaandika wosia hata mjukuu wangu asisome pale
Unamaanisha nini unaposema 3 za mwisho na thibitisha kwa ushahidi kuwa UD wanachukua div 1 tu. Kwanini waliweka minimum admission points 5 from three subjects kwa masomo ya arts sheria ikiwemo na rafiki yangu 3.13 kachaguliwa hapo Udsm?
Saut hakuna hata prof mja wa sheria Dr ndo cjui,darasa moja lina wanafunzi mia saba,watu wa law semister moja wanasoma unit kumi My mama cjui wanazielewaje?
Unajidanganya ww dar ndo mpango
Saut hakuna hata prof mja wa sheria Dr ndo cjui,darasa moja lina wanafunzi mia saba,watu wa law semister moja wanasoma unit kumi My mama cjui wanazielewaje?
Me npo ardhi ila kw law sauti ninawaunga mkono...achilia mbali wingi wa wanafunzi n mamb mengn kama kuchukua three ambyo hata sua wamechua three ya pcb mpka 16 ...ila law wanajua bhana hata philosophy ni wazma ila kw ud ni chamtoto
Saut hakuna hata prof mja wa sheria Dr ndo cjui,darasa moja lina wanafunzi mia saba,watu wa law semister moja wanasoma unit kumi My mama cjui wanazielewaje?