Tuliochaguliwa Bachelor of law SAUT, this is the best university in Tanzania. Read this.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuliochaguliwa Bachelor of law SAUT, this is the best university in Tanzania. Read this....

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mbute na chai, Aug 22, 2012.

 1. Mbute na chai

  Mbute na chai JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  The faculty of law at St. Augustine University has built itself a name in the international arena through several continuous participation in the international moot court competitions, such as the African Human Rights moot court competition in 2009 and 2011, ranking the first among Tanzanian participating universities such as University of Dar es Salaam, Ruaha University college (one of its constituent colleges) and the Open University of Tanzania in 2009 in Lagos, Nigeria competition. In the 2011 Pretoria, South Africa competition, it took the same lead against the Muslims University and Mzumbe University in the same Africa's most prestigious competition. The Phillip C. Jessup international law moot court competition is another more prestigious competition done every year in Washington D.C., USA. This is also another area where the faculty has built so much proficiency since it first participated in 2010. In December 2011 the faculty of law took the first position in the East Africa moot court competition on the Rights of the Child held in Nairobi Kenya, against 15 prominent universities. So we are at the right place, welcome aboard!
   
 2. Mbute na chai

  Mbute na chai JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  sourcing, contact the SAUT faculty of law or visit Wikipedia just search keyword St. Augustine university of Tanzania.
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Hongera..kwa kuchaguliwa huko
   
 4. J

  John lau Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajidanganya ww dar ndo mpango
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Funguka zaidi mkuu!
   
 6. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  vilaza tatizo sana huamini mambo simple simple bila hata kuumiza vichwa vyao kidogo.chuo chenye product za law mtaani hazifiki hata 4 halafu kiwe bora? Hiyo wikipedia hata mimi nimesha jiregister naweza anzisha mada yoyote na kuwa publish
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  Acha wivu wewe....
   
 8. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pale saut nimeshaandika wosia hata mjukuu wangu asisome pale
   
 9. Bob Lee Swagger

  Bob Lee Swagger JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hongera kwa kuchaguliwa chuo mkuu. Ngoja nikufikirishe kidogo lakini kabla hamjajipongeza sana, SAUT inawezekana kuwa ni chuo bora katika sheria kama ulivyosema, lakini je wahitimu wake ni bora pia katika viwango sawia!?

  Kusoma chuo bora hakumlazimishi mwanachuo kutoka akiwa bora pia. Lazima uweke effort kubwa binafsi ili kuwa bora.
  Ukienda chuo ukabweteka ukidhani kuwa eti unasoma chuo chenye jina kubwa nawe utatoka refined, utashangaa unatoka wa kawaida sana na hakutakuwa na tofauti kati yako na wale unaodhani wamesoma vyuo vya kuungaunga! Mwisho wa siku lazima kuwe na tofauti kati yenu, na tofauti hiyo inaletwa kwa juhudi binafsi.

  Bahati 'nzuri' siku hizi tunawaona waliomaliza law mnafanya hadi customer care kwenye makampuni ya simu na teller kwenye mabenki!
  Kama hujui unakoenda, huwezi kupotea njia..
  . Kila la kheri mkuu, lakini nenda katengeneze tofauti!
   
 10. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Dogo,take it 4m me: SAUT ni chuo kidogo,i mean ki umri,so kinatafuta jina sumthn wch z Gud..ukizngatia,PUBLICITY na POPURALITY kwa chuo ni credits tosha!
  UDSM,pale hawana haja ya kutafta jina wala ubora,(jina lipo,ubora pia upo..oldest law faculty in E.A)that y hawaek mkazo sana kwa mashndano kama hayo,bt wanafunz wanashiriki bt kukosekana kwa mazoezi meng na uangalzi wa walimu-team coach inapelekea poor perfmance kwa team za udsm!

  Mut korts,ni kukariri zile wrtten arguements na jinc gan utavojipanga kushawish majudge..ts an art of persuatn,inataka training ya nguvu sumthn wc UDSM hakuna io,wanafunz wanajfunza wenyewe..then wanaenda shiriki!

  Moral of the story: weathr ur in Saut,Mu,tu,ruco..LL.B degree ni ile ile,ts u to show ur potential
   
 11. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  NI KWELI NI BORA SAUT tena sana ila ubora wa chuo unategemeana na bidiii ya mwanachuo
   
 12. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  sasa kama unajua ni vilaza sapu zitwahusu ushauri mzuri
   
 13. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  then,UDSM-walimu 60,Darasa 150,c zaid ya hapo! sAUT walimu c weng,clas ni jiti 4 hadi 5 wanafunzi..yan uelewa sasa ndo ishu..,plus kuna baadh wa udsm wanafundsha kule(Dr.Mtaki-criminal law saut,Udsm Sheria za mikataba na kazi),Mr.Kitta-Sheria za kodi-saut,Udsm-sheria za masoko ya hisa na mtaji)! I kan say,UDSM kuna unafuu kdgo...

  Then,cha ajabu,mwenye G.p.a ya 3.0 ya UDSM anapata Nafas ya admssn ya LL.M pale pale Udsm,wakati,wa vyuo vngne akitaka kustdy UDSM LL.M lazma awe na GPA YA 3.8! So it means 3.0 ya UDSM ni sawa na 3.8 ya vyuo vngne vyote..!
   
 14. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hivi Frederick Werema na johnson mwanyika walisoma wapi vile?
   
 15. pitbull

  pitbull JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  St.agustine wanachukua hadi 3 za mwisho law akati ud mwisho 1
   
 16. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  The only facult in EAST AFRICA UNALINGANISHA NA SAUT? HAUKO SIRIOUS NA MAJAJI WANAOSEMWA NA MH. TUNDULISU WANATOKA VYUO HIVYO YAAN MAJAJ NI VLAZA HAIJATOKEA. chuo udsm gugo rank yake 15 moja in afrika uliza kat ya vyuo vingapi?
   
 17. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  shida sio kuwa ya 15!! je products pia ni za 15 kama chuo??
   
 18. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kaka io 15 ni Webmatrics,ubora wa websites...visibility ya courses ktk website! Ila kwa Quality ni ya 23 Afrika...
   
 19. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  yap,Lord! Ushabiki haufai..c wote wanaomalza ni wazuri..!

  Guys,kama m2 ukpata chuo kngne nendaga tu,UDSM mbinde sana kupata GPA kubwa,weng humaliza na 2.5 to 3.2...mbinde ktk Ajira! So ukipata ivo wanavovita vyuo vya kata,nendeni,ma GPA YA KUMWAGAAA,ukgraduate hupati tabu ya kufynd job
   
 20. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Walsoma UDSM bt hayo c makosa ya mlimani,ni wao binafsi! Af kumbuken sheria darasan mwafundshwa maadili meng kweli,bt ukienda ktk utekelezaji..duh! Hao w2 ulowataja apo wapo serikalini,huez jua wanapata shndkzo gan toka serkalini! Majaj hawa hawa wanaosema,lazma kue na uhuru wa mahakama,ndo wa kwanza kua easly influencd na serkali..
   
Loading...