Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,041
- 4,297
Tuwasubiri wanakuja.
Wale Mabachela tunatafuta ili nasi tuwe kwenye mahusiano moto moto!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu tu hapa napata
Aisee mimi hivyo hivyo nilimla wangu kimasihara mpaka na type hapa mapenzi yamekolea kweli na familia inajua. December watu wanakula pilau.Tulikutana siku moja, mwaka jana, siku hiyohiyo tunda likaliwa kimasihara mapenzi yamekolea hadi tunategemea kupata mtoto baada ya miezi kadhaa[emoji85]
Tuna miezi 7 hadi sasa, familia zinatutambua pande zote mbili
Nakupenda sana baba k wangu[emoji182][emoji182][emoji182]
Kilichotushawishi naona damu zetu tu zimeendana from the first day we met
Tulikutana siku moja, mwaka jana, siku hiyohiyo tunda likaliwa kimasihara mapenzi yamekolea hadi tunategemea kupata mtoto baada ya miezi kadhaa[emoji85]
Tuna miezi 7 hadi sasa, familia zinatutambua pande zote mbili
Nakupenda sana baba k wangu[emoji182][emoji182][emoji182]
Kilichotushawishi naona damu zetu tu zimeendana from the first day we met
kuna demu anaitwa oxford univ.namfukuzia ni mgumu sana nadhan n bikra.
Aisee mimi hivyo hivyo nilimla wangu kimasihara mpaka na type hapa mapenzi yamekolea kweli na familia inajua. December watu wanakula pilau.
God save us
Wow.. Hongereni sana ndugu zangu. Nawatakieni kila lenye kheri. Love is beautiful [emoji173]️
Happy dude [emoji67][emoji538]
Watu wanaojiwekea guarantee kwenye mapenzi.
So pathetic!! Badae ndo mnakuja kulia lia hapa
Kwahyo ulitaka wajiwekee Guarantee kuwa wataachana? Acha wivu wa Kike, acha watu wapendane wafurahie Maisha! Nyie ndo wale watu Mtu akimpenda sana Mpenzi wake mnasema karogwa [emoji2][emoji2] sasa Mnataka amchukie au? Wabongo bhana yani Mkipendana sana Mnaonekana kama malimbukeni eti bado wageni wa mapenzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii nchi ya Kis£nge sana
Sent from my iPhone using JamiiForums