L litemakaye Member Joined Aug 17, 2013 Posts 46 Reaction score 37 Sep 4, 2013 #1 jamani naombeni updates, kama mwezi wa tano tulitaza fom na kuandika barua za aplication za kujiunga na jesh la police tukiwa chuoni, vip jamani naona kimya,,
jamani naombeni updates, kama mwezi wa tano tulitaza fom na kuandika barua za aplication za kujiunga na jesh la police tukiwa chuoni, vip jamani naona kimya,,
K Kakwale New Member Joined Aug 26, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Sep 4, 2013 #2 Aisee bado bwana ila wale wa 4m4 na 4m6 ndo waliitwa kwenye usaili.