Tulinganishe kauli mbiu na vitendo

Tulinganishe kauli mbiu na vitendo

MSHINO

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,069
Reaction score
713
Mkweli ni Yupi kati ya hawa: Uwazi na ukweli, Maisha bora kwa kila MT, Hapa kazi tu, Kazi iendelee

Ni awamu gani Ilitafsili kauli mbiu kwa viendo tukianza na awamu ya 3?

  • Awamu ya tatu: Mzee Mkapa (R.I.P) Kaulimbiu : Uwazi na ukweli
  • Awamu ya Nne: Mzee Kikwete Kauli mbiu : Maisha bora kwa kila Mtanzania
  • Awamu ya tano: Joseph Magufuli Kauli mbiu : Hapa kazi tu
  • Awamu ya sita: Mama Samia Kauli mbiu : Kazi iendelee
 
Umesahau Tanzania ya viwanda 😄😄,Magu bwana.

Kauli iliyoakisi kabisa uhalisia ni maisha bora kwa kila Mtanzania maana pesa ilikuwepo.

Pili kauli ya Kazi iendelee inatafsiri kwa vitendo Tzn ya viwanda maana mama anaitekeleza hasaa.
 
Back
Top Bottom