Serikali imepanga kutoa magari 32 ya washawasha ili yatumiwe na askari wa Idara ya Zimamoto.Magari ya washawasha kutumika kuzima moto
Kwa sasa naona wangeyageuza yawe viwanda vya sukari kwa sababu tuna uhaba nayo as long as ni multipurpose baadae tuangalie kuna uhaba wa kipi tunayabadikisha hivyohivyoKumbe haya magari ni multi-
purpose, hakuna kilichoharibika. Ni matumizi mazuri ya fedha za umma. Kazi iliyokusudiwa imeisha, yanaendelea kujenga nchi katika majukumu mengine. Hayatakuwa tembo mweupe. Kongole kwa aliyeyaagiza.
Haaaa haaaa haaa hatarihaya magari bora yangebadilishwa ambulance lakini yalipewa sura mbaya kiasi kwamba mgonjwa akiyaona anazimia na kufa baadaye