Alphonce Mawazo
R I P
- Sep 10, 2013
- 335
- 471
Nimesikitishwa na machozi ya bi kizee Theresia leo kwenye mkutano wa hadhara
niliofanya ktk kijiji nilichokitaja na ndo makao makuu ya wilaya ya
rorya,wakazi wake wanaporwa mashamba yao kwa nguvu na serlkali,ukiwa na
heka nne kwa mfano ni lazima uachie mbili,bei kwa heka haiko rasmi,Mama
mmoja kachukuliwa heka tatu na kapewa sh.milion moja,anaitwa mama
John.Mbunge wao Lameck Lakairo hajali,anawafungia vioo,wapo waliofungua
kesi mahakama ya mwanza lakini wana wasi wasi mkubwa kama haki
itatendeka,wamezuiwa kulima wala kujenga,wanajuta kwa kutoichagua
chadema,nilipowauliza kwa nini hawakuipa kura,bibi kizee mmoja mjane
ambaye mume wake alikatwakatwa mapanga akasema kwa uchungu,"tulihongwa
mabirika ya chai na Lameck Lakairo"kadi 20 za ccm zilirejeshwa,kesho
niko kata ya mkoma.Katika msafara wangu kamanda wangu mmoja alipata ajari mbaya ya boda boda na akapoteza fahamu,mwingine kaumia vibaya sana,tuombeeni.
Poleni sana.
Poleni sana.
Kamanda Mawazo, Kila la Kheri Kaka kwa Kazi!
Poleni sana Makamanda
Mlioumia huko Rorya Kwenye Msafara wa Kamanda Mawazo, 2ko pamoja nawe
tangu Siku ya Mkutano wa Mh. Wenje pale Mbugani S/Msingi... Kamanda
nakuomba sana 2pange ili 2wende Jimbo langu la Serengeti, manaake huko
nako kuna Gamba Sugu zaidi yangu... Dah! M4C ni noumaa!
kaza uzi kamanda Mawazo
!
Wanaosema sema operation sangara ilikufa waambieni, imekua sasa
hatutafuti sangara tena bali tunahamasisha mabadiliko chini ya M4C
BIG UP KAMANDA WAPI MAKAMANDA WENGINE !!
Note: Ule mjadala wa ZZK ulishafungwa rasmi
kila la heri mkuu,
wasogeze hao ndugu zangu waliotelekezwa na CCM katika ziara ya Kinana na
Nape ,CHADEMA IKAOKOA JAHAZI.
Poleni sana Makamanda
Mlioumia huko Rorya Kwenye Msafara wa Kamanda Mawazo, 2ko pamoja nawe
tangu Siku ya Mkutano wa Mh. Wenje pale Mbugani S/Msingi... Kamanda
nakuomba sana 2pange ili 2wende Jimbo langu la Serengeti, manaake huko
nako kuna Gamba Sugu zaidi yangu... Dah! M4C ni noumaa!
Kaza msuli kamanda tuko pamoja
kamanda mawazo
nakukubali sana kwa kazi ya kuwahenyesha hao magamba mpaka katika ngazi
ya kijiji. VIVA CHADEMA , VIVA M4C.
Mungu yupo upande wetu. Songesha Kamanda.