Alphonce Mawazo
R I P
- Sep 10, 2013
- 335
- 471
Nimesikitishwa na machozi ya bi kizee Theresia leo kwenye mkutano wa hadhara
niliofanya ktk kijiji nilichokitaja na ndo makao makuu ya wilaya ya
rorya,wakazi wake wanaporwa mashamba yao kwa nguvu na serlkali,ukiwa na
heka nne kwa mfano ni lazima uachie mbili,bei kwa heka haiko rasmi,Mama
mmoja kachukuliwa heka tatu na kapewa sh.milion moja,anaitwa mama
John.Mbunge wao Lameck Lakairo hajali,anawafungia vioo,wapo waliofungua
kesi mahakama ya mwanza lakini wana wasi wasi mkubwa kama haki
itatendeka,wamezuiwa kulima wala kujenga,wanajuta kwa kutoichagua
chadema,nilipowauliza kwa nini hawakuipa kura,bibi kizee mmoja mjane
ambaye mume wake alikatwakatwa mapanga akasema kwa uchungu,"tulihongwa
mabirika ya chai na Lameck Lakairo"kadi 20 za ccm zilirejeshwa,kesho
niko kata ya mkoma.Katika msafara wangu kamanda wangu mmoja alipata ajari mbaya ya boda boda na akapoteza fahamu,mwingine kaumia vibaya sana,tuombeeni.