John Kachembeho
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 560
- 390
Ni dk. Tulia ackson kama sijakosea ni lecturer udsm anawakilisha wasomi
Umetumia saburi kufikiri na kuandika hii kituJina hilo Mbowe analiogopa sana. Lisu akilisikia anatetemeka.
Two years ago...she sounded bright to me!
Two years ago...she sounded bright to me!
kawaadhibu wapi mkuu,leta hapa ushahidi alipo waadhibu wapinzani.....na ulete na vifungu vinavyoonyesha amekiuka sheria zilizopitishwa na wabunge wenyewe wakiwemo wa upinzani.............................Who is Tulia Ackson? Jipu lililoingizwa Bungeni na Magufuli kwa maelekezo ya kuwaadhibu Wabunge wote wa upinzani ambao huichachafya Serikali Bungeni.