Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,751
- 19,703
Sema wewe Pascal. Mwalimu wako LW 101 anakuangusha. Nini hiki anachokionyesha? Kama kweli anadhani anauwezo, ushawishi na maadili atangaze kwanza kuachia nafasi yake ya sasaHakuna ubaya kwa mtu yoyote to aim higher, kitu cha muhimu ni kufuata katiba, sheria, taratibu na kanuni.
Huyu ni mwalimu wangu wa sheria pale UDSM, kiukweli kwenye hili, mwalimu wangu amechemsha!. Alipaswa ajiuzulu kwanza u naibu spika ndipo agombee u spika!. Mimi huu nimeuita ubatili
Je, wajua haramu isipoharimishwa inageuka halali? Na batili isipobatilishwa inageuka halali. Je, tuhalalishe ubatili huu kwa mhimili wetu wa Bunge?
Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa natoa makala elimishi za kisiasa, kiuchumi na kijamii ziitwazo "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa lengo la uzalendo kwa nchi yangu, kuisaidia nchi yetu, serikali yetu, viongozi wetu na...www.jamiiforums.com
This is not right
Sio haki yake na sheria inazuia, ila wanaopaswa kumzuia Tulia, wamenyamazia!.
Ili mtu atumie busara, kitu cha kwanza ni hiyo busara yanyewe kwanza iwepo kisha ndipo itumike!. Kama hiyo busara yenyewe haipo, kwa mtu kama huyo unategemea nini?.
P
Labda wanasubiri kwenye uteuzi ili wamuengue.Sio haki yake na sheria inazuia, ila wanaopaswa kumzuia Tulia, wamenyamazia!.
Bhakafu kalumbuTwambombo? Bhaana bakafu?๐
Tena ikapitishwa sheria ya kinga dhidi ya kushtakiwa kwa mambo aliyoyafanya akiwa kwenye Uspika!!!! Very interesting. Hakika tuliwezwa na watawalaTukiacha unafiki kwanamna spika anavyolipwa kupitiliza na maisha yalivyo magumu hukunje na alivyopewa nguvu kujiamulia atakavyo hakuna namna MTU ataacha kutamani hikicheo.
Ilipaswa kuangaliwa upya namna wanasiasa wanavyojilimbikizia malipo makuubwa bila aibu huku wavujajasho wengine wakilipwa mishahara isiyotosha hata kumlisha mbwa kwamwezi...
Nionavyo wanavyojilipa nisawa na uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka!!
Tusikubali kuwa mazuzu,katiba mpya no muhimu mmmmno
Hahaa ๐๐๐๐๐๐๐Ili mtu atumie busara, kitu cha kwanza ni hiyo busara yanyewe kwanza iwepo kisha ndipo itumike!. Kama hiyo busara yenyewe haipo, kwa mtu kama huyo unategemea nini?.
P
Sio anatakiwa kuenguliwa, anatakiwa kuadhibiwa kwa kukiuka masherti ya utumishi wa umma.Labda wanasubiri kwenye uteuzi ili wamuengue.
Akili si ndio inatoa mwanga kwenye maarifa na weledi.Ana akili lakini kakosa maarifa na weledi
Kwani sio Sheria hiyo?
Haina maana kwamba ukichukua fomu ya kugombea nafasi nyingine umejiuzulu uliyokuwa nayo automatically?
Analeta ujanja. Kwenye uteuzi akienguliwa anarudi fasta kwenye nafasi yake ya Unaibu kimyakimyaaaa!Labda wanasubiri kwenye uteuzi ili wamuengue.
Tena ikapitishwa sheria ya kinga dhidi ya kushtakiwa kwa mambo aliyoyafanya akiwa kwenye Uspika!!!! Very interesting. Hakika tuliwezwa na watawala
Mbona sawa tu , mbona Kuna watumishi wengi wa umma, unakuta anafanya kazi sehemu Fulani ,lakini kila siku unamuona anazunguka kufanya interview taasisi nyingine.
Hapana hakufundishwa na kaput hapana she is bright, madaraka ndio yamefanya akili zikahamia tumboni.Huoni soni ku declare kwamba huyo alikuwa Mwalimu wako??!!, ulifundishwa na Caput??!!๐คฃ
[emoji38]Anatuchafua wanyakyusa,watasema kwetu kuna njaa kumbe matoki kedekede
๐๐๐๐๐Ili mtu atumie busara, kitu cha kwanza ni hiyo busara yanyewe kwanza iwepo kisha ndipo itumike!. Kama hiyo busara yenyewe haipo, kwa mtu kama huyo unategemea nini?.
โKama ataona ni maadili kufanya hivyo basi Tulia achukue fomu zote mbili, yaani ya Unaibu na Uspika pindi nafasi yake ya sasa itakapokua waziโ. - Hiyo ndiyo tamaa yenyewe.Analeta ujanja. Kwenye uteuzi akienguliwa anarudi fasta kwenye nafasi yake ya Unaibu kimyakimyaaaa!
Ilitakiwa mtu mwenye ujasiri ndani ya CCM atangaze tu kua kwa kitendo cha Naibu kulipia na kuchukua fomu ya Uspika automatikale nafsi ya unaibu nayo ipo wazi. Wamfahamishe Katibu wa Bunge atangaze kua kuna uchaguzi wa Naibu Spika pia
Kama ataona ni maadili kufanya hivyo basi Tulia achukue fomu zote mbili, yaani ya Unaibu na Uspika pindi nafasi yake ya sasa itakapokua wazi
Fijoo,aka nkikulu losaa[emoji38]
Ikutunyasya
Hata wewe ni dada akoTulia ni dadako??!
Kama ni mtumishi wa umma huruhusiwi kufanya interview yeyote iwe ya ndani au nje hadi uwe na ruhusa ya mwajiri wako.Mbona sawa tu , mbona Kuna watumishi wengi wa umma, unakuta anafanya kazi sehemu Fulani ,lakini kila siku unamuona anazunguka kufanya interview taasisi nyingine.