tukutane oktoba

Aisee kadi yangu kumbe wewe ndio umeiokota!!!
 
kama uliiedit na ukasahau hiyo namba hapo chini... basi imekula kwako kwa kugawa kadi bureee. maana shida yao Namba tu.
 
kata ya MZINGA kituo ulicho jiandikishia ni "IMANI NURSERY B"

umezaliwa tar ya.... (ngoja ninyamaze kwasababu ninazo detail zako zote) nitakureport kwenye tume ya taifa ya uchaguzi (nec)
 
Dah! Hiyo "number" hapo inarahisisha sana upatikanaji wako. Taarifa zako zipo kwenye "system".
 
Unawezaje kujua iyo maneno mkuu


kata ya MZINGA kituo ulicho jiandikishia ni "IMANI NURSERY B"

umezaliwa tar ya.... (ngoja ninyamaze kwasababu ninazo detail zako zote) nitakureport kwenye tume ya taifa ya uchaguzi (nec)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…