yero
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 471
- 425
Hapa tunazungumzia yale ambayo chama Tawala (CCM) kimefanya kinachoweza kumshawishi mtu yeyote akipigie kura ifikapo Oktoba 2015.
Yale ambayo UKAWA wanataka kufanya vinavyoweza kumshawishi mtu yeyote afikirie kupiga kura kuiondoa CCM madarakani na kuwaweka UKAWA.
Yale ambayo vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo wanataka kufanya ili kuleta maendeleo kwa ajili ya nchi yetu ya Tanzania.
Zingatia: Mzee wa magogoni kasema kazi ya kuongoza nchi haina shukrani thankless akimaanisha amefanya vingi watu wanakuwa wagumu kuona.
Naamini uchangiaji kwenye uzi huu utawafungua macho wale ambao huwa hawana kawaida ya kupiga kura na wale wapiga kura kwa mara ya kwanza kufanya maamuzi ya kujiandikisha na kupiga kura.