_aysher
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,131
- 942
Tausi umenikumbusha lindi alikua chokoraa...Tausi ndege wangu......
Siti binti kasri, Dama na Mujuba!
hahahaaa
Ingine....THE BOLD AND THE BEAUTFUL..........
Tausi umenikumbusha lindi alikua chokoraa...Tausi ndege wangu......
Siti binti kasri, Dama na Mujuba!
hahahaaa
Ingine....THE BOLD AND THE BEAUTFUL..........
haaa santePassion
painter of the winds
emperor of the sea
jewerly in the palace
slave hunter
zote ni korea drama
Jumong! hii ni mwisho wa yote. hata ikirudiwa mara 200 siwezi kuacha kuangalia. baada ya hiyo kuna ingine inaitwa The lands of winds! hizi zote ni Korean legendary drama. hizi drama ni balaa, kwa asiyewahi kuziona azione ni nzuri mno!!!!!!
Mnbwahaaaaa mbwahaaaaaaaWe nawe,si uandike moja tu na tu maneno twa kujazia jazia?sasa wenzako wataandika nini?acha uchoyo.
Nimekaa nikaanza kuzikumbuka Tamthilia za zamani kwenye Tv zetu
1.Life Goes on
2.227
3.Fresh Prince of Bell Air
4.......
5........
endelea
acha uongo...La mujer de mi vidaaaaaaa ya Inna na Angelo me
Hahahaacha uongo...
Bonge la mchomoooo c kuropokwa uko nimerithi kwa mkuu wa nchi...acha uongo...
Inaelekea una umri sawa na basiteTausi ndege wangu......
Siti binti kasri, Dama na Mujuba!
hahahaaa
Ingine....THE BOLD AND THE BEAUTFUL..........