Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Jumong! hii ni mwisho wa yote. hata ikirudiwa mara 200 siwezi kuacha kuangalia. baada ya hiyo kuna ingine inaitwa The lands of winds! hizi zote ni Korean legendary drama. hizi drama ni balaa, kwa asiyewahi kuziona azione ni nzuri mno!!!!!!

Land of the wind, sitasahau hii siku Maroo anchomwa moto wanafunzi wote waliia siku ilee (Mara sec)

Cc:Yuda B Yudae
 
Kuna movie moja nimesahau jina kuna jamaa alikuwa anaongozwa na mwewe na jambaz alikuwa ni mwana mke alikuwa anaishi pangon naipenda sana ila jina limenitoka
 
Ile movie gari inaongea, ina paa juu, inamuokoa staa aitwae maiko. nk. Tulikuwa tunaiita MAIKO sikumbuki jina maana tulikuwa wadogo
2. Nyingine ni ROBOCOP
 
Back
Top Bottom