Tukutane Hapa Machizi Game Wenzangu

Aisee mi Magame siachi hata nikioa, moja ya vigezo mke ni sharti awe gamer

[emoji23]umenikumbusha manzi fulani nilisoma nae, anapenda sana games na alikua virgin, tatizo ana u tom boy fulani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Game nimecheza sana utotoni lakini siku hizi majukumu yamebana naweza nikapitisha hata miezi sichezi. Kwenye orodha yangu nadhani haya ndiyo magemu ambayo niliyapenda sana miaka ya nyuma:

1. God of war 2 ya PS2
2. Mortal Kombat 9 ya PS3
3. Donkey Kong ya Nintendo Game boy
4. Looney Tunes Racing ya PS1
5. Smack-Down VS Raw 2007 ya PS2
6. Smack-Down ya PS1
7. Devil May Cry 3 ya PS2
8. Soul Calibur 3 ya PS2
9. Pro Evolution Soccer 2007 ya XBOX
10. Tomorrow Never Dies 007 ya PS1
11. Command and Conquer Series ya PC
12. Tekken ya PS2
13. Street Fighter X Tekken ya PS3
 
Resident Evil vipi hukugusa kabisa?
 
Mimi kitambo hicho nishakesha sana kwa wanangu kipindi tupo wadogo kucheza Super Mario tu😃😃
 
VP ntapayaje dream league soccer ambayo haija hackiwa 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bado sana kiongoz 😁 kwa game hizo..
 
Yaan natamani tukutane kipigwe hata league watu tukomeshane. Ila kwangu Game bora ukiacha na football ni God's of War.
 
Yaan natamani tukutane kipigwe hata league watu tukomeshane. Ila kwangu Game bora ukiacha na football ni God's of War.
Mzee kama ni mpenzi wa PS4 tafuta hiyo kitu hapo juu yakuitwa Call of Duty.

Unaweza usile siku nzima
 


Mjomba Dembele nae ni chizi magemu humwambii kitu.

Hapo yuko tayari asile, kulala saa 8 na kesho yake unakuta haendi mazoezini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…