Kwenye entertainmentKuupeleka wapi?
SawasawaSio kesi mkuu, popote burudani tu!
kama ni kwa lazima huenda utakosa mtu sahihiAisee mi Magame siachi hata nikioa, moja ya vigezo mke ni sharti awe gamer
Wakuu nimeona niusogeze huu uzi karibu tuweze kupeana A-Z kwa wale wapenzi wa kucheza magemu.
Kwa upande wangu, nilitegemea nitaacha nikifikia ukubwani lakini mpaka sasa najikuta bado nipo. Nafikiri ni starehe yangu nyingine hapa duniani.
Njooni tujuane na tupeane hint mbalimbali na pia tushare michezo yoyote ya Game uliyocheza mpaka sasa, either kwa PS4, PS3, PS2, PS1, X-BOX, kwa laptop ama kwa simu janja.
Karibuni.View attachment 1356374
nunua yako mkuu ndio unaenjoy.Sasa kama mimi PS4 ipo mtaani. Kwahiyo nikitoka tu chuo nawashtua machizi tunaenda kukichafua ile ile.
hapo sawa....Yani mtaani nikimaanisha home nilipopanga. Ipo ndani yani mzee.
haya mambo wakati mwingine wengine wanajikutaga wanakula vibuti.Huyo mchizi niliepanga nae chumba yeye mwenyewe pia gamer kama mimi.
Na mali ipo ndani. We unafikiri nini kinachofuata hapo