Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Crypted SMS new build is here.
*Now there is notification for every incoming encrypted sms only.
*There is no copy and paste any more, sms is received directly into App.Grub your copy.
http://goo.gl/zlSzPs
Mi pia nna mzigo nishautupia playstore,unaweza ukauchek directly hapa https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sheldon.serious.darsearch
Me nielezeeni kuhusu crypted na incrypted SMS ndo zikoje na tofauti yake n nn
mbona aifanyi kazi harafu tatizo lenu amjui au amna elimu ya kutafuta soko kwa iyo mnatumia akili kubwa kufanya vitu lakini faida ndogo
A new update is already availableNtakushauri upige tizi ya kutengeneza UI, hasa flat UIs, Software ina info nzuri ila User interface haijatulia kabisa
sijaelewa faida yake mkuu may be kichwa changu pentium 4
nimeinstall ila sielewi
Sehem ya juu kabsa unaandika namba ya unaetaka kumtumia encrypted sms, box ya chin inaandika ujumbe wako then unaandika passphrase atakayotumia unaemtumia hyo txt ku decrypt then unabonyeza encrypt button, utaona cipher text chini yake then unabonyesa send. Hakika unaemtumia ana hyo app kwenye simu yake la sivyo hataelewa ulichomtumia
Free Online Courses & Online Learning from ALISON youtube pia kuna video nyingi tu.mimi kuanzia jana ndio nimeanza kujaribu kuitimiza ndoto yangu ya kuwa mtengenezaji mzuri wa app bt sijajua mtandao wa kujifunzia cozi hii help plz
Nimetengeneza Crypted SMS ila sijaweka play store nitawapa link ya ku download apk file, nikitulia..
kwa nini hudhani kama jamaa ametengeneza mwenyewe? uwepo wa source code github ni kigezo cha kuamini kwamba jamaa hawezi kutengeneza mwenyewe?sidhan kama umetengeneza hiyo crypted sms,thats y hujaiweka google playstore, source code ya hiyo app ipo github , developer weng wanatumia code hiyo wanachofanya ni kubadilisha jina tu. Mfano secure sms n.
Ntakushauri upige tizi ya kutengeneza UI, hasa flat UIs, Software ina info nzuri ila User interface haijatulia kabisa
kwa nini hudhani kama jamaa ametengeneza mwenyewe? uwepo wa source code github ni kigezo cha kuamini kwamba jamaa hawezi kutengeneza mwenyewe?
kama unajua c++, tumia
qt creator kutengeneza ui , then tumia JNI kucall java code ili kupata access na android system platform..
Ni lais sana kutengeneza ui kwa kutumia qt ,.. Utachora ui yoyote unayotaka ,.. Bila kutengemea hizo template zilizoandaliwa na google