Hakuna kipya zaidi ya wale ngombe nyati wa mabuki na utititri wa waganga matapeli wa kienyeji waliojazana kwenye mabanda kila mwakaWana UMM hamjambo?
Baada ya kushiriki usafi wa jiji langu la Mwanza leo kuanzia saa 1:00 hadi saa 3:00 asbh nimekuwa busy na mambo mbalimbali yakiwemo ya kisiasa na habari nyingine kedekede. Kwa sasa nalianzisha kuelekea nane nane - Igoma / Nyamhongoro ambapo nimejulishwa kuwa kuna mambo mengi ya kujifunza hasa yanayohusu kilimo. Sitokuwa mchoyo, yale nitakayoyakuta huko nitarejea tena hapa majaliwa kesho au Jumatatu kuwashirikisheni,
Kwa wale mlioko Rocky city tafadhalini tutafutane japo kwa muda mfupi tufahamiane, NDO HIVYO IKIFIKA SAA 07:30 NITAKUWA NDANI YA VIWANJA HIVYO. Ni-PM tupeane contact ili tutafutane huko.
Wana UMM hamjambo?

Nimeimiss sana Rocy City wajameni. Vipi siku hizi kuna viwanja gani vipya vya kujirushiua? Maana nina miaka kama saba hivi sijakanyaga huko.
Hakuna kipya zaidi ya wale ngombe nyati wa mabuki na utititri wa waganga matapeli wa kienyeji waliojazana kwenye mabanda kila mwaka
Safi sana rafiki, tatizo wabongo wanahitaji kuona wanenguaji na wanamuziki wa kizazi kipya tu, hawataki kujifunza mambo ya ukulima kwani kwao kilimo ni kama adhabu.Tutor B nimetoka nane nane dodoma, nimefurahi sana, nimeenda banda la brela nimepewa majibu safiii ya maswali yangu. nimeenda banda la wakala wa vipimo napo nimefurahi sana, pia nikaenda sayansi na teknolojia, nikaishia kuangalia wanyama
kisha nikarudi zangu home
Hakuna kabaya - nitakucheki ila kuanzia jana kulikuwa kumechangamka sana.