Hoja ni nzuri sana, tatizo ukijua style ya watanzania katika kudeal na issues majibu yako yatakuwa magumu kweli kweli kuyapata kwa sasa.Linapokuja kuwa ni swala lina husu watu...haaa ungeona utitili hapa.Lakini kwa kuwa ni maswala wengi wako Dodoma..
Ni swala la kihistoria na kidogo hata Mwalimu alijaribu sana kulifanya lisiwe na nguvu lakini umri nae ulimtupa mkono.Na tatizo hili kubwa linachagizwa na tamaduni..ukizingatia ofisi kuuza serikali ziko kwenye JIJI la DAR ambako kuna utamaduni wa wakazi wa maeneo ya pwani.Unaweza kuona kwenye medani ya michezo na habari za udaka zinazohusu watu direct kidogo huko majibu yako haraka sana...dah kwel mkuu cjui kwa nin tz tuko hiv!
Ni swala la kihistoria na kidogo hata Mwalimu alijaribu sana kulifanya lisiwe na nguvu lakini umri nae ulimtupa mkono.Na tatizo hili kubwa linachagizwa na tamaduni..ukizingatia ofisi kuuza serikali ziko kwenye JIJI la DAR ambako kuna utamaduni wa wakazi wa maeneo ya pwani.Unaweza kuona kwenye medani ya michezo na habari za udaka zinazohusu watu direct kidogo huko majibu yako haraka sana...
Ni kweli inatisha ndio maana ukitafuta mwaanasiasa kwa ushawshi wa watu hakika Nchi itaingia shimoni..great thinkers inawapas akufikilia sana sana kutoa majibu sahihi huku wakiendana na matarajio ya Wananchi hao hao ambao mara nyingi Keen issues kwao wao huwa ni petty issues na petty issues huwa ni keen issues.inasikitisha sana