tembajr, Hapo kwenye ticha wa ngeli, malizia tu 'teacher Mussa'
Nimechapwa sana mianzi na huyu teacher Mussa, ila namshukuru na ntamkumbuka mpaka siku naingia kaburini...
Chang'ombe primary school tumewakilishaaaaaa.... Education is liberation
Sent using
Jamii Forums mobile app