Tukumbushane nyimbo za hot album ya wachuja nafaka 2001

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
2,414
4,938
Hili ni kati ya kundi bora kuwahi kutoa album kali miaka hiyo, nimezunguka library nyingi ili nipatiwe album yao ila sijafanikiwa , nipo SINGIDA kiukweli nimezunguka.

Baadhi ya nyimbo kali nazozikumbuka katika album hiyo ni hizi hapa, baadhi zinapatikana nyingine hazipatikani, kama unazo aplod tusikie

- Wachuja nafaka i.e dolo+nature+kr muller
-Ya leo kali i.e nature+ doro+ kr muller
- Tunafanya kazi i.e wachuja nafaka ft clepto man x
-Radhia wangu- dollo+nature
-Mzee wa busara - nature+kr muller
-Mzee wa busara remix - nature + inspector harun
- Siikumbuki
-Siikumbuki
-Siikumbuki
Tupeni link, au hata kama unakumbuka mstari wowote katika album hii ulioupenda unukuu basi, kwani ya kale ya dhahabu
 
Ya leo kali mentally
Kunguru kanyea ugali
Konda kamwambia akachimbe dawa yeye kaenda kuchimbua matofali
Anakwenda pale mohamed hussen la la laaa goooo
Wasikilizaji kumbe mpira upo katikat
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom