Tukumbushane kidogo: Wanasiasa maarufu waliopata kubwagwa ubunge

Pius Msekwa - Ukerewe na dada yake Getrude Mongela huko huko.
Dr. Ibrahim Msabaha - Kibaha
Venance Mwamoto - Kilolo
Ramadhani Maneno - Chalinze
Nsanzugwanko - Kasulu (Huyu hata akifika jimboni anapandisha vioo vya gari lake ili watu wasimsemeshe)
Arcado Ntagazwa - Kibondo
Charles Keenja - Ubungo
 
<br />
<Mwandishi alimwita Wassira swahiba,Wassira alitafsiri swahiba kuwa ni shoga alichanganya maana,hapo ndio akapata hasira na kumshambulia mwandishi.
 
Bila Kuwasahau Anthony Dialo Ilemele Mwanza (2010).
Mh.Ngasongwa Ulanga Morogoro
 
Vipi walioangushwa na kesi za uchaguzi Mahakama Kuu? Naikumbuka ya Jaji Warioba na Wassira ambayo imewafanya maadui hadi kesho.
<br />
<br />
nijuze hyo ya warioba na wasira n bye ze way cpati picha mwandishi aliyepata kofi la tyson kumbe alikuwa ashaamia NCCR MAGEUZI bac ye ni kigeugeu
spend m2 anayeshift chama 2 chama inaonesha hujiamini
Msisahau Masha(nyamagana)alivyomwagwa
 
Huyo kwenye red alikuwa mwanandinga maarufu pia,sijui wapi huyu bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…