Tukumbuke tukio la 13th May 1981.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250

Picha hii ni siku ambayo Pope John Paul II alipopigwa risasi na Mehmet Ali Agca katika Viunga vya St Peter's Square.Na Badae aliweza kumsamehe nasi tusamehe wabaya wetu katika kipindi hiki cha Kwalezima na kwenye Maisha yetu yote katika Dunia hii.
 
Kwalezima ndio kipindi gani hicho mkuu? Kiswahili naona kimenipiga chenga kidogo.
 
Mie nilijua ni kipindi cha kuwinda ndege wanaoitwa kwale!! Asante mkuu kwa jibu sahihi.
 
Inaitwa Kwaresima... ni kipindi cha kufunga na kufanya matendo mema.

sio kweli unapotosha jamii! matendo mema yanatakiwa kufanywa siku zote za maisha ya mwanadamu! wenye mtazamo kama wakwako wanaongozwa na mapepo!
 
Kwalezima ndio kipindi gani hicho mkuu? Kiswahili naona kimenipiga chenga kidogo.
Matatizo ya kiufundi mkuu kwarezima muulize mkatoliki yoyote atakwambia aliyekaribu yako unaemjua.
 
sio kweli unapotosha jamii! matendo mema yanatakiwa kufanywa siku zote za maisha ya mwanadamu! wenye mtazamo kama wakwako wanaongozwa na mapepo!
Tena wewe ndo pepo mkuu....Hujasoma mafundisho nini.... defn ya Kwaresima ni kipindi cha siku 40 cha kujiandaa kwa ajili ya ufufuko wa Yesu Kristo. Tunajiandaa kwa kufunga, kuomba na kufanya matendo mema.. Upo hapo? yani umenifanya hadi nimefungua Katekisim
 
Kusamehe inatoka moyoni, huwezi kudesa kusamehe. Hadi moyo wako kweli uamue hivyo, vinginevyo unafki tu.
 

wababaishaji bwana! yaani mnakimbilia kufunga mnakwepa kusulibiwa! kama una ubavu si useme tukupigilie misumari? hayo mnayofanya ni waigizo tu! sijawahi ona mtu kagraduate halafu anaigiza uchekechea! Yesu alishamaliza kila kitu! WE ENENDA KWA ROHO HUTATIMIZA TAMAA ZA MWILI! acha ubabaishaji na mafundhsho ya wanadamu! Roho mt. ndiye mwalimu wa kweli anafundisha na kukukumbusha yote aliyoagiza Yesu!
 
nami namshukuru Mungu kutoka kifungoni yaani
huyu anayejiita :nod::nod::shocked:
 
Kweli pope John Paul II alikuwa ni mfano wa kuigwa, kumsamehe muuaji wako. Mungu amlaze palipo pema. Pope Francis naona anaishi kitakatifu pia, he is demonstrating real papacy life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…