Linea Messina Maskani Magomeni Fundikila Uwanja wa mazoezi Shule ya msingi Turiani..... K'ndoni wapi na wapi?
Kwani shule ya msingi Turiani ipo wilaya ya Temeke au Kibaha? Msikimbilie kulaumu kabla ya kufikiri, kwa kutaja wilaya wasioelewa eneo watanufaika zaidi.
Mkuu nimekusoma lakini fahamu kuwa hata Barca ni ya Spain lakini ni Catalan, Juventus ni ya Italy lakini Toino, Milan ni ya Italy lakini jiji la Milan barabara ya Turati,
So hata kama aliiona Abajalo katika mashindano ya ujirani mwema Tegeta ni lazima afahamu kuwa Abajalo ni ya Sinza, lazima ufahamu Boom na ashanti ni za Ilala, ingawaje Ilala ni wilaya kubwa na ina maeneo mengine ambapo pia kuna timu kwa mfano Napoli ya Buguruni.
Sijui umenisoma kaka?
Acheni Kuuma uma Maneno mtoa Maada ajasema Kaziona wapi Alichosema yeye "Zamani kulikuwa na Upinzani ZIKIKUTANA TIMU ZA MTAA MMOJA hapo amezungumzia mitaa Alafu akasema Mfano Kinondoni zikikutana MESINA na FARU ina maana hapa alikuwa anazizungumzia timu za Kinondoni Mtaa sio Wilaya ila nyinyi mnataka kumuwekea maneno mdomoni kuwa Alikuwa anazungumzia Wilaya

Hivi kuna mtaa wa Kinondoni? Hebu nipe coordination zake...
Haya Ndekwakwise toa jibu...
Mphamvu ndio huyo sasa
Hivi kuna mtaa wa Kinondoni? Hebu nipe coordination zake...
Kinondoni km Kinondoni ni Eneo ambalo lina Mitaa yake na Ukizungumzia timu za Kinondoni kulikuwa na Internasionale pamoja na Newcastle..... Na Ukizungumzia Upinzani Linea Mesina Mpinzani wake Mkubwa alikuwa Kagera rangers na Faru Dume mpinani wake Alikuwa Sifa utd..... So Mechi ya Mesina na Faru iliuwa ni mechi kali Ila co Wapinzani! Hivi lakini Mlikuwepo Mjini kipindi hicho au Mnataka kubishana tuu
Usilete maneno mengi kama mkongo.
Umejidai unajua sana Jiografia, hujaniambia mtaa wa Kinondoni ulipo...
Nyinyi Darasani ndo Mlikuwa Mnakaa nyuma kabisa Mwl akifundisha Mnatia stry....... Nimekwambia Kinondoni ni Eneo na pia lina Mitaa yake! Acha kupaparika.
Nyinyi Darasani ndo Mlikuwa Mnakaa nyuma kabisa Mwl akifundisha Mnatia stry....... Nimekwambia Kinondoni ni Eneo na pia lina Mitaa yake! Acha kupaparika.
Mie nimesema pengine mtoa mada alimaanisha pengine Kinondoni wilaya, wewe ukaja na analysis zako za kudai mtaa wa Kinondoni ni eneo blah blah, kwa taarifa yako hata Afrika pia ni eneo lenye nchi zake pia.
Wakati mwingine kuleta ulegendary wa kujifanya unaijua Dar kama dereva taksi ni ushamba.
Nyie ndo mlokuja mjini mkafikia Kisutu then mkakutana na wajomba zenu mnara wa askari.
Sijui ulichokuwa unashikia bango ni nini hapo...
mphamvu na Ndekwakwise tunataka za juu juu na hakuna mtu kung'ata...
Hoja ijibiwe kwa hoja na sio vioja.
Tfadhali
mphamvu na Ndekwakwise tunataka za juu juu na hakuna mtu kung'ata...
Hoja ijibiwe kwa hoja na sio vioja.
Tfadhali
Gang Chomba Mi sipigani bana..... Ila Kaa ukijua D'slaam Inawenyewe tuliokuwepo kabla hata ya Chips,na tulikula Chips tunafungiwa Kwenye gazeti!
Hah hah hah haah haya Mphamvu wenye Dar yao tangu inaitwa Mzizima wamecharuka...
Enhee na wewe ulikuwepo tangu enzi unapikia Kimbo na Pride ama?