katika kulea watoto wetu kuna umuhimu wa kuhakikisha mtoto anakuwa anaishi katika mazingira mazuri ambayo sio hatarishi kama vile umemuacha mtoto mdogo na ndogo umeacha bila hata ya kuzba mfuniko
sasa huyu mtoto kaachwa ndan na waya wa extension upo ndan na unaumeme anaanza kutafuna tujifunze sisi wazaz
R.I.P MTOTO