Tukubali tusikubali wenzetu Kenya wanachanja mbuga, sisi na CCM yetu mmh !


I recently visited so many rural areas for business, believe it or not, life is getting even uglier and tougher
 
The bodaboda fares, diesel for unga mills and kerosene for lamps will go up in the rural areas

Kwa hiyo unaagree na mimi kwamba hii ni Global Inflation inayotokana na bei za Mafuta. Kuwa na bei juu za mafuta ni la dunia nzima, kwa sababu bado tuna import mafuta kwa matumizi yetu. Na bei hizi zitapanda na kushuka kutegemeana na hali halisi ktk Mid East.
 
there are some countries are doing just fine not much affected by the global economic crunch e.g. Australia.
There are some countries that were affected by it and have moved on and are now doing just fine e.g. our neighbours next door Rwanda, Kenya etc
Why not Tanzania?
 
I recently visited so many rural areas for business, believe it or not, life is getting even uglier and tougher

Hiyo ndiyo issue inayokuja TZ, kwa sababu kila mtu anataka kukaa Dar, nani atakaelima vijijini? Unajua Free Market haiweleki miongoni mwa WTZ wengi. Kwa sababu WTZ wengi wanafikiri kwenye Free Market lazima wafanye kazi viwandani, maofisini, wakati si kweli. Unajua matajiri wakubwa ktk nchi kubwa zilizoendelea zenye kutumia system ya Free Market ni Wakulima. Ktk system ya Free Market kama unaishi vijijini na unaproduce food, mifugo unachance kubwa ya kuwa tajiri kuliko kukaa Dar kufanya kazi ofisini au viwandani.
 

People are flocking to Dar from all the corners of the country looking for the Tanzanian Dream. Since life has been very punishing in the rural areas, people are moving to the big cities hoping to make it. For them they feel that it's better to live with hope in Dar than languishing in poverty and hopelessness in the villages
 


Hizo nchi wana individual entrepreneur ambao wandrive uchumi wa nchi yao. Angalia ktk other reply nimezungumzia kuhusu tatizo la Free Market miongoni mwa WTZ.
Lakini TZ bado tuna positive GDP growth ktk uchumi.
 

Hiyo ndiyo issue inayokuja TZ, kwa sababu kila mtu anataka kukaa Dar, nani atakaelima vijijini? Unajua Free Market haiweleki miongoni mwa WTZ wengi. Kwa sababu WTZ wengi wanafikiri kwenye Free Market lazima wafanye kazi viwandani, maofisini, wakati si kweli. Unajua matajiri wakubwa ktk nchi kubwa zilizoendelea zenye kutumia system ya Free Market ni Wakulima. Ktk system ya Free Market kama unaishi vijijini na unaproduce food, mifugo unachance kubwa ya kuwa tajiri kuliko kukaa Dar kufanya kazi ofisini au viwandani.
 
Hizo nchi wana individual entrepreneur ambao wandrive uchumi wa nchi yao. Angalia ktk other reply nimezungumzia kuhusu tatizo la Free Market miongoni mwa WTZ.
Lakini TZ bado tuna positive GDP growth ktk uchumi.
We had adopted the free enterprise economy just after Mwinyi came into power (1985). Isn't that enough time?....25+ years.........
 

Hand hoes won't make things better for the rural dwellers
 

Please find the article. It would give us a very interesting statistic. Kuhesabu fedha kama hizo 5tr/- kweye kukua kwa uchumi wa Watanzania ni udanganyifu. Uchumi wa Watanzania unakuzwa na fedha wanazopata wao, sio na fedha zinazovunwa na mabwanyeye na kuondoshwa nchini.
 

Daah! Haya bana. Kwa mtaji huu najiuliza kwanini Mustapha Mkulo awe Waziri wa fedha badala ya Alhaji mwenye "higher learning" kama weye?
 
We had adopted the free enterprise economy just after Mwinyi came into power (1985). Isn't that enough time?....25+ years.........

Not Enough. Unajua hatukuwa na institutions ambazo zilijengwa ktk mazingira ya free market economy. Free Market inataka Research and Development, tulikuwa tunatakiwa tuwe na maingeneers, lakini wapi. Nyerere alishindwa kuweka miundo mbinu ya nchi ktk kumsaidia MTZ. Matokeo yake, tunayo system ambao bado inafanya kazi bila ya kuwa na mising bora ya free market.
 

Wewe kila bovu nchi hii ni kumlaumu Nyerere tu. Miaka zaidi ya 20 tokea aachie ngazi, na marais watatu baada yake. Hata Wamarekani wameacha kumlaumu George W. Bush kwa kilia lilio baya nchi yao miaka chini ya mitatu tokea aondoke madarakani ...
 

We currently do have a lot of engineers, scientists, doctors etc both within and outside Tanzania. How can these professionals contribute to the development of this country while you daily hear that China has secured one project after another followed by the influx of the chinese personel (chinese engineers, geologists and even concrete mixer drivers) to work for these projects in which the local professionals are ignored
 
Wewe kila bovu nchi hii ni kumlaumu Nyerere tu. Miaka zaidi ya 20 tokea aachie ngazi, na marais watatu baada yake. Hata Wamarekani wameacha kumlaumu George W. Bush kwa kilia lilio baya nchi yao miaka chini ya mitatu tokea aondoke madarakani ...

Hahahaa. TRUTH, au siyo. Let's be honest
 
Wakati Nyerere anang'atuka dola 1 ilikuwa 17 shs but artificial not market set,Mwinyi kaacha at 600 market price,Mkapa kaacha 1100 na sasa ni 1600 kwa dola moja.
 

Tatizo kubwa la wasomi wa sasa hivi ni kwamba hawana foundation ya kupata capital investments. Leo kuna maPhD kibao lakini hawapo ktk research yoyote. Hapo ndipo linapukuja suala la foundation. Nyerere alishindwa kuweka miundo mbinu kwa WTZ, matokeo yake sasa hivi, kila kitu kinajengwa na China kwa sababu hatuna vifaa, pesa za kunnuna hivyo vifaa, kwa sababu tumekuwa behind kiuchumi. Sasa tunajaribu ukawifikia wenzetu lakini bado tunakwama kwenye capital investments.
 

Acha ubabaishaji ndugu yangu, watu wanahamia mijini kwa sababu huko vijijini hakukaliki kwa ugumu wa maisha. Jaribu kuachana na data za kupikwa ambazo ndio zimekuwa kama dira zinazoiongoza serikali yetu ya CCM. Nitakupa mfano;
Lakini hapo hapo wanaongezea;
However, the number of people in Tanzania who have to survive on $1.10 a day or less has risen by one million to 12.7 million in the last six years !
Kwa lugha nyingine ni kuwa wakati wanadai uchumi unakua, umasikini uko pale pale kama si kuongezeka na watu wanaoumia zaidi ni wale wa kijijini.
Shamu unaongea kama vile huko vijijini hakuna tena watu wakati asilimia kubwa ya Watanzania karibu 80% tayari wanaishi huko huko. Sasa ni kwa nini hawa si matajiri ama kuna watu special ambao wamehamia mijini lakini kama wangekuwa vijijini wangefanikiwa katika kilimo na ufugaji, ni watu gani hao ? au hao waliokimbilia mjini kama ndio wanaosababisha umasikini vijijini - ni asilimia ngapi ?

Jamani tuache mzaha kwa mambo ya msingi - ardhi tunayo, watu tunao na tunachokosa ni uongozi bora kwa sababu CCM hivi sasa ni kama genge tu la wezi na wachumia tumbo, ukweli ambao hawako tayari kuupokea. Wako tayari kuwaua Watanzania wanaodai mabadiliko katika mfumo wa uendeshaji nchi kuliko kukubali kuwa wamefikia upeo wao na kuachia madaraka - yamewashinda.
 

I'm talking about putting this valuable labour force into work. If you invite the chinese to come to Kiwira, that's fine. But when you allow their labor force to take the jobs which were supposed to be done by the local labor force that's not Nyerere's problem. The chinese or any other foreign investor are welcome to invest in Tanzania, but under certain terms and conditions which benefit wananchi too just like other countries are currently doing. But when you have bogus contracts that the current government is being tied up with these chinese investors then who's to blame? Are you gonna still blame Nyerere for this? pleaseeeeeeeeeeeeeee
 
Absolutely! Further more, though not declared our TSh is on peg with Dollar, so how budget could be realistic if the Tsh is on lose every other day. The 20:1 ratio mean the purchasing power of Kenyans is better than ours. If one think inflation is better then Zimbabwe and Uganda could be a paradigm. Don't forget that controlling inflation is improving income and vice versa, we have seen this in Mkapa's reign.

Mag3, in terms of tax and financial discipline Kenya had the same problems like ours, She broke the seal by having opposition majority in the house. I could see that coming soon as people appreciate the opposition in the parliament.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…