Tuko tayari kwa maandamano

Tuko tayari kwa maandamano

berenya

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
330
Reaction score
52
Tunamachungu,Tunaudhuni na tunamasikitiko makubwa sana na huu upandaji ya umeme kwa kiwango cha kutisha.leo namaliza siku ya 4 baada ya luku kuisha sijanunua umeme..tuko tayari ya kwa maandamano ya kupinga huo upandaji wa umeme,maana huu upandaji umegusa nyanja zote,nitashangaa sana kama police atanyanyua rungu lake na kumpiga mwananchi,maana hii inamgusa hata yeye na familia yake,,,Lakini ili maandamano haya yafanikiwe inabidi iratibiwe na TAWI LOLOTE LA CCM AU TAASISI YOYOTE ISIYO YA KISERIKALI,Naamini hapo yatafanikiwa..Na nina maana nasema kwanini yaratibiwe na CCM Na sio CDM.
 
Wewe kijana, chunga sana.
Hujui Ufisadi ndiyo ilani ya chama cha mizigo, sasa ulitaka tukale wapi??
Nyienyie walalahoi ndiyo tutawaminya tupate hela za kuishi maisha yetu bora tuliyoyazoea
 
Naomba kuuliza usipolipa wewe mtumiaji wa hiyo huduma unataka ulipiwe na nani? Maana ukisema ilipe serikali kwa ruzuku, ruzuku ni kodi ya wananchi wote pamoja na wale wasiotumia. Hivyo una hisia nzuri lakini fikiri upande wa pili!
 
mandamano yenu yamefika wapi kwa sasa.
 
Wewe kijana, chunga sana.
Hujui Ufisadi ndiyo ilani ya chama cha mizigo, sasa ulitaka tukale wapi??
Nyienyie walalahoi ndiyo tutawaminya tupate hela za kuishi maisha yetu bora tuliyoyazoea
ukitaka mchawi asimloge mwanawo..mpe akulele..ndo maana nikasema ccm ndo waratibu
 
kuandamana siyo suruhu slaa alikuwa anakesha akiandamana lakini leo aliokuwa anaandamana nao wanaandamana kumpinga yeye.
 
Naomba kuuliza usipolipa wewe mtumiaji wa hiyo huduma unataka ulipiwe na nani? Maana ukisema ilipe serikali kwa ruzuku, ruzuku ni kodi ya wananchi wote pamoja na wale wasiotumia. Hivyo una hisia nzuri lakini fikiri upande wa pili!
SISI Huwa tunabebeshwa mizigo kwa uzembe wa watu wachache na ingekuwa ni serikali makini wale wote waliyoingiza hii nchi kwenye mikataba mibovu ungekuta siku nyingi wako jela..wameingia mikataba ambayo inatunyonya haswa..hata kama mtambo haufanyi kazi lazima ulipie capacity charges..mfano mdogo IPTL..Mtambo saa zingine hautumiki lakini hata kama hautumiki capacity charges kwa kila siku iko palepale..mahakama imeamuru tanesca wailipe DOWANS Na tanesco yenyewe iko hoi..sasa hapo ndo unakuta serikali inabebesha huo mzigo kwa wananchi kwa uzembe wa watu wachache
 
mandamano ndio yataleta unafuu wa maisha? Mbona hata ukiandamana wahusika hawajali wala kusikia, ww ndiye unarudi home kuhangaika, wao ni kila kitu yaani kula kwako na kulala kwako...maandamano yawe ya cdm au ccm au cuf kwa serikali hizi za banana ni kazi bure...heri kuwaachia hizo luku na kutumia solar....
 
maandamano inawakilisha kilio cha wengi..ukisema uache kutumia luku na utumie solar,wataacha wachache sana na haita leta adhari yoyote kwa tanesco na wala serikali haiwezi jua kama kuna watu wameacha luku na wameanza kutumia solar..maandamano ndio ujumbe mzito
 
Wanaosema maandamano hayana maana wamepotoka, lakini pia acha tuchague kutokuandamana sahv kwani tutaandamana 2014-15 siku ya kura na tutaandamana kwenda kulinda kura zetu na hapo mtu adhubutu kuingiza mbaliga,tutawamabina wao na mahekalu yao na wapendwa wao ...mbona wana wa Israeli waliandamana kutoka utumwani kurudi kwao?
 
Wewe kijana, chunga sana.
Hujui Ufisadi ndiyo ilani ya chama cha mizigo, sasa ulitaka tukale wapi??
Nyienyie walalahoi ndiyo tutawaminya tupate hela za kuishi maisha yetu bora tuliyoyazoea

Wapeni kura CHADEMA, mitama kedekede mwaka huu lazima NCCR wachukue nchi si CCM wala CDM
 
ni kweli ni ujumbe..lakini maana ya ujumbe inakuwepo kukiwa na feedback...uhakiki wangu upo kwa feedback zero kwa hii sirikali ya mizigo...
 
Mie nina fikra tofauti na hizi za kudai punguzo la bei badala yake tuandamane kuishinikiza serikali kuwashtaki walioingia mikataba ya kifisadi tanesco. Hawa watu wapo na wanakula bata tu mtaani ilihali sie tunaumia.
 
Tunamachungu,Tunaudhuni na tunamasikitiko makubwa sana na huu upandaji ya umeme kwa kiwango cha kutisha.leo namaliza siku ya 4 baada ya luku kuisha sijanunua umeme..tuko tayari ya kwa maandamano ya kupinga huo upandaji wa umeme,maana huu upandaji umegusa nyanja zote,nitashangaa sana kama police atanyanyua rungu lake na kumpiga mwananchi,maana hii inamgusa hata yeye na familia yake,,,Lakini ili maandamano haya yafanikiwe inabidi iratibiwe na TAWI LOLOTE LA CCM AU TAASISI YOYOTE ISIYO YA KISERIKALI,Naamini hapo yatafanikiwa..Na nina maana nasema kwanini yaratibiwe na CCM Na sio CDM.

Anzeni kuratibu maandamo yakupinga ujangili. Kwa nini hamna uzalendo?
 
Mie nina fikra tofauti na hizi za kudai punguzo la bei badala yake tuandamane kuishinikiza serikali kuwashtaki walioingia mikataba ya kifisadi tanesco. Hawa watu wapo na wanakula bata tu mtaani ilihali sie tunaumia.

unaishinikiza serikali gan ww? Who r u kuishinikiza serikali hii na ikusikilize? Serikali ni nini na nani? Serikali kila kitu serikali...nani aliiweka madarakan?
 
SISI Huwa tunabebeshwa mizigo kwa uzembe wa watu wachache na ingekuwa ni serikali makini wale wote waliyoingiza hii nchi kwenye mikataba mibovu ungekuta siku nyingi wako jela..wameingia mikataba ambayo inatunyonya haswa..hata kama mtambo haufanyi kazi lazima ulipie capacity charges..mfano mdogo IPTL..Mtambo saa zingine hautumiki lakini hata kama hautumiki capacity charges kwa kila siku iko palepale..mahakama imeamuru tanesca wailipe DOWANS Na tanesco yenyewe iko hoi..sasa hapo ndo unakuta serikali inabebesha huo mzigo kwa wananchi kwa uzembe wa watu wachache

Alafu wakishaenda jela umeme unapatikana bure?

Tatizo hamfuatilii mambo kwa undani tuliingia kwenye mikab ya ukodishaji bali tuliposhindwa kuwekeza kwenye shirika kubwa na miundo mbinu kwa miaka kati ya 10 hadi 15... hili ndio kosa tulilofanya kama taifa. then tukajiingiza kwenye mikataba ya umeme wa dharura... which if we could have invested tusingeihitaji!
 
unaishinikiza serikali gan ww? Who r u kuishinikiza serikali hii na ikusikilize? Serikali ni nini na nani? Serikali kila kitu serikali...nani aliiweka madarakan?

ukiniuliza mie ni nani nitakujibuje? Au unategemea nikujibu kuwa mimi ni serikali kama alivyojibu kapu-ya kwenye kashfa yake na vident? Mimi na wewe ndo tunaounda serikali kwa kura zetu. Wewe unajitengaje kuwa sehemu ya serikali? Jifunze kuwa na majibu yasiyokarahisha. Nimekumbuka elimu yako ya shule na hata chuo kikuu cha kata ndo inayokufanya uwe na majibu haya kwani hujitambui kuwa wewe ni sehemu ya serikali kwa kuwa haikujiweka madarakani.
Isitoshe, tukiamua kuishinikiza serikali kwa njia yoyote tunaweza na viongozi wanalitambua hilo kwani katiba yetu inatuongoza kufanya hivyo. Usituvunje moyo kwa maswali yako ya kichama chetu mamluki. Tunaweza tukiungana pamoja lakini tutashindwa kwa kuwa na watu wa aina yako! Umoja ni nguvu tuungane ili tushinde!
 
Back
Top Bottom