Tukizubaa Azam wanachukua Kombe la ligi msimu huu

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Ligi imekuwa ngumu,kwa timu 3 za kwenye msimamo mpaka sasa ukidraw au kupoteza mechi kazi unayo.

Tusishangae Azam kufunga vigogo wawili au draw na kuchukua NBC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ligi imekuwa ngumu,kwa timu 3 za kwenye msimamo mpaka sasa ukidraw au kupoteza mechi kazi unayo.

Tusishangae Azam kufunga vigogo wawili au draw na kuchukua NBC

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu naona ni vyema sana maana ndiyo inakuwa ligi bora.
Ligi inakuwa kama Hispania bana asipochukua Barcelona basi Madrid.
Ikiwezekana hata Ihefu naye achukue kombe
 
Sisi kolokwinyoz tumesaidiwa na mbeleko yetu tff tumewahepa azam hadi January huko maspidi yao yatakuwa yemepungua labda tutabahatisha hata droo
 
Ligi imekuwa ngumu,kwa timu 3 za kwenye msimamo mpaka sasa ukidraw au kupoteza mechi kazi unayo.

Tusishangae Azam kufunga vigogo wawili au draw na kuchukua NBC

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo utazubaa na atakugonga kweli si utani, yanga keshamalizana nae atamsubili round ya pili na atakanyagwa vile vile, Tatizo lipo kwenu na timu yenu ya kuungaunga kikombe Cha Azam amtokiepuka mtachezea za kutosha!
 
Back
Top Bottom