Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Hana interest na maongezi yako probably au topics unazozileta.Kwanini msiongee kuhusu wewe na yeye?Mfano yeye anapenda nini?ana plan gani za baadae?Mkuruzinza ndo nani/nini?Escrow ?:shock: hata mi siyajui hayo siasa imenipitia kushoto!
Hajamzoea bana...wanawake wengine wana aibu...dah usinikumbushe :becky:Mtoa mada anesema hata akiongea mapenzi bado binti yupo kimya tu
ulimtongoza kiafande
Mbona suluhisho la tatizo lako ni simpo tu! Fanya hivi:.....Next time mkitoka "out" halafu akawa kimya jaribu kujamba bonge la ushuzii, halafu umsikilizie kama hata sema kitu tena!!usisahau kula maharage yaliyoungwa mafuta ya mawese mahususi kwaajili ya zoezi hilo walau siku tatu mfululizo kabla ya siku ya outing!
kumbe anakuwa anaongea na watu wengine basi kweli hakupendi.. piga chini tuHapana mama, huyu atakua hanipendi tu
Wewe mtu gani muda wote Wa outing ana chat tu anakwambia ongea wewe
Iwe ni story za mahaba ni hivyo hivyo nikiamua kubadilisha mada inakua hivyo hivyo
Na ni kila outing
Hahahaaaa utamponza mwenzako akajiharishie mbele ya demu wake bure!!!!!
Dah JF noma Aisee. Stress free
Hivi wadau mkiwa date ni lazima watu muongelee mapenzi mwanzo mwisho?Au kwenye date kama hii ambapo mpenzi anakaa kimya mwanzo mwisho unafanyaje? Au hanipendi?
Kijana hizo topic unazozungumza naye kwa kweli si zenyewe kabisa, sijui hiyo outing mnaenda wapi lakini kuna mambo ya kuzungumza huko
1. Muulize maswali yanayomhusu yeye au mazungumzo yanayomhusu kama familia yake, anaonaje kuhusu maisha na mambo kama hayo. Sasa wewe mpo sehemu tulivu unauliza habari za boxing!!! kweliiiiii
2. Usiwe muongeaji sana mpe nafasi ya kuongea, isije kuwa unabaldili stori sana mpaka anabaki anakushangaaa tu.
3. Usiwe na mada/topics ngumu, sasa hiyo Escrow mpaka rais mwenyewe haelewi wewe leo unataka mtoto wa watu akueleze nini? Uliza vitu simple na mtaenda sawa tu. Muulize hata kuhusu nywele zake (kama anazo nzuri lakini) au hata pochi na mambo mengine. Kuwa msikilizaji zaidi na mfanye ali relax
umenena kweli mkuuKama mnapendana kiukweli na kwa hisia ni lazima story ziwepo tu yaani piga ua. Wapendanao bila story za hapa na pale hakuna si kawaida. Huyo binti hajakupenda au sijui ni kitu gani hicho. Jaribu kuwa na story za kimapenzi na maendeleo uone kama atachangamka. Asipochangamka piga chini haraka sana atakusumbua huyo.
Baada ya hapo utaulizia namba zake...
Hapana mama, huyu atakua hanipendi tu
Wewe mtu gani muda wote Wa outing ana chat tu anakwambia ongea wewe
Iwe ni story za mahaba ni hivyo hivyo nikiamua kubadilisha mada inakua hivyo hivyo
Na ni kila outing