Mkuu unajua zilikuwa zimebaki kama dakika tano kwenda lunch wakati nasoma hii comment yako, nimecheka sana imebidi niende tu lunch, eti escrow hata rais wa nchi haijui sasa unamuuliza kimwana kwenye date hahahahaha
Kijana hizo topic unazozungumza naye kwa kweli si zenyewe kabisa, sijui hiyo outing mnaenda wapi lakini kuna mambo ya kuzungumza huko
1. Muulize maswali yanayomhusu yeye au mazungumzo yanayomhusu kama familia yake, anaonaje kuhusu maisha na mambo kama hayo. Sasa wewe mpo sehemu tulivu unauliza habari za boxing!!! kweliiiiii
2. Usiwe muongeaji sana mpe nafasi ya kuongea, isije kuwa unabaldili stori sana mpaka anabaki anakushangaaa tu.
3. Usiwe na mada/topics ngumu, sasa hiyo Escrow mpaka rais mwenyewe haelewi wewe leo unataka mtoto wa watu akueleze nini? Uliza vitu simple na mtaenda sawa tu. Muulize hata kuhusu nywele zake (kama anazo nzuri lakini) au hata pochi na mambo mengine. Kuwa msikilizaji zaidi na mfanye ali relax
Wakuu,
Ninakwazwa na tabia ya binti mmoja hivi ambae nimempa heshima kubwa ya kumtoa outing sehemu ya daraja la juu ambapo hata mimi huwa siendi. Huyu binti yupo kwenye middle-class anaishi na wazazi wake na ni mhitimu wa chuo.
Mimi ni mjasiriamali nina duka la jumla huku uswahilini na pia najihusisha na kilimo cha mchele mkoani, nilipomaliza nilisota sana benchi nikaamua kuwa mfanyabiashara na sasa mambo yapo levo namalizia nyumba Bunju.
So nikasema acha nitafute mtoto mzuri msomi niwekendani nikampata mtoto mmoja hivi mkali sana akakubali kimsingi kuwa na Mimi hatujazini bado. Lakini kuna jambo bado sijalielewa kwamba tukiwa outing haongei chochote mm ndo nageuka muongeaji mkuuNikikaa kimya basi ndo tunakua kama mabubu vile.
Tena unakuta nimejikoki nimempeleka sehemu ya maana na tulivu lakini ni yale yale, nikianzisha habari za Mkurunzinza kufurumushwa Burundi ambazo ndio zilikua zina trend hii wiki nzima iliyokwisha anakuuliza Mkurunzinza ndio nani.Nikisema nianzishe story za Escrow na bunge ambazo msomi yoyote hapa Tz hawezi kushindwa kujua.
Unakuta yupo kimya nikisema haya sasa ngoja nizungumzie mapenzi ambayo ndio yametuleta hapo date pia kimya nikimuuliza kama ananipenda anasema ndio. Haya myweather na manny wamepigana majuzi ulilionaje pambano? Ananiuliza ni akina nani hao.
Hivi wadau mkiwa date ni lazima watu muongelee mapenzi mwanzo mwisho?Au kwenye date kama hii ambapo mpenzi anakaa kimya mwanzo mwisho unafanyaje? Au hanipendi?
Ongelea Dai, Zari na kina madame uone!
Kamaliza chuo gan?
Huyo sio wa outing, chukua weka ndani ataongea. Inawezekana anaogopa kupiga off points.
Au anasubiri mgegedo kwanza ndo afunguke!
You are right wanawake wanafanana tabia sana tujihabari kama huto ukichokoza nyuki utahadithiwa mpaka asubuhi.Hapo ataongea haswa...ongezea na tamthiliya za kifilipino na bongo movies.
Kijana hizo topic unazozungumza naye kwa kweli si zenyewe kabisa, sijui hiyo outing mnaenda wapi lakini kuna mambo ya kuzungumza huko
1. Muulize maswali yanayomhusu yeye au mazungumzo yanayomhusu kama familia yake, anaonaje kuhusu maisha na mambo kama hayo. Sasa wewe mpo sehemu tulivu unauliza habari za boxing!!! kweliiiiii
2. Usiwe muongeaji sana mpe nafasi ya kuongea, isije kuwa unabaldili stori sana mpaka anabaki anakushangaaa tu.
3. Usiwe na mada/topics ngumu, sasa hiyo Escrow mpaka rais mwenyewe haelewi wewe leo unataka mtoto wa watu akueleze nini? Uliza vitu simple na mtaenda sawa tu. Muulize hata kuhusu nywele zake (kama anazo nzuri lakini) au hata pochi na mambo mengine. Kuwa msikilizaji zaidi na mfanye ali relax
Kijana hizo topic unazozungumza naye kwa kweli si zenyewe kabisa, sijui hiyo outing mnaenda wapi lakini kuna mambo ya kuzungumza huko
1. Muulize maswali yanayomhusu yeye au mazungumzo yanayomhusu kama familia yake, anaonaje kuhusu maisha na mambo kama hayo. Sasa wewe mpo sehemu tulivu unauliza habari za boxing!!! kweliiiiii
2. Usiwe muongeaji sana mpe nafasi ya kuongea, isije kuwa unabaldili stori sana mpaka anabaki anakushangaaa tu.
3. Usiwe na mada/topics ngumu, sasa hiyo Escrow mpaka rais mwenyewe haelewi wewe leo unataka mtoto wa watu akueleze nini? Uliza vitu simple na mtaenda sawa tu. Muulize hata kuhusu nywele zake (kama anazo nzuri lakini) au hata pochi na mambo mengine. Kuwa msikilizaji zaidi na mfanye ali relax
Wakuu,
Ninakwazwa na tabia ya binti mmoja hivi ambae nimempa heshima kubwa ya kumtoa outing sehemu ya daraja la juu ambapo hata mimi huwa siendi. Huyu binti yupo kwenye middle-class anaishi na wazazi wake na ni mhitimu wa chuo.
Mimi ni mjasiriamali nina duka la jumla huku uswahilini na pia najihusisha na kilimo cha mchele mkoani, nilipomaliza nilisota sana benchi nikaamua kuwa mfanyabiashara na sasa mambo yapo levo namalizia nyumba Bunju.
So nikasema acha nitafute mtoto mzuri msomi niwekendani nikampata mtoto mmoja hivi mkali sana akakubali kimsingi kuwa na Mimi hatujazini bado. Lakini kuna jambo bado sijalielewa kwamba tukiwa outing haongei chochote mm ndo nageuka muongeaji mkuuNikikaa kimya basi ndo tunakua kama mabubu vile.
Tena unakuta nimejikoki nimempeleka sehemu ya maana na tulivu lakini ni yale yale, nikianzisha habari za Mkurunzinza kufurumushwa Burundi ambazo ndio zilikua zina trend hii wiki nzima iliyokwisha anakuuliza Mkurunzinza ndio nani.Nikisema nianzishe story za Escrow na bunge ambazo msomi yoyote hapa Tz hawezi kushindwa kujua.
Unakuta yupo kimya nikisema haya sasa ngoja nizungumzie mapenzi ambayo ndio yametuleta hapo date pia kimya nikimuuliza kama ananipenda anasema ndio. Haya myweather na manny wamepigana majuzi ulilionaje pambano? Ananiuliza ni akina nani hao.
Hivi wadau mkiwa date ni lazima watu muongelee mapenzi mwanzo mwisho?Au kwenye date kama hii ambapo mpenzi anakaa kimya mwanzo mwisho unafanyaje? Au hanipendi?
madada wengine wakiwa ktk mahusiano mapya ni waoga sana....hivyo mpeleke sehem ambazo anapenda,mpe anachotaka,msikilize,mmbeleze, punguza kuongea sana na usisahau kumtoa uoga{kula mzgo} usikute mwenzako anauraru we unaleta mapenzi ya kihindi nadhani utamuelewa tu watoto wazuri kusumbua kawaida tena akijua umekolea ndio basi tena........USISAHAU KUTUPIA PICHA NIIGILIZIE