Tukiwa outing anageuka bubu

Inaonekana unaapply sana mahusiano ya kifilipino ..!
Tafuna huyo bibie kwanza .,story baadae zitakuja automatically ..!
 

Afadhali umempa maujanja lol
 

hahaha da nimecheka sana, issue ya escrow hata rais kumbe haijui halafu jamaa anamtupia mtoto maswali magumu hivo...
 
Hivi wadau mkiwa date ni lazima watu muongelee mapenzi mwanzo mwisho?Au kwenye date kama hii ambapo mpenzi anakaa kimya mwanzo mwisho unafanyaje? Au hanipendi?
Unasema mkiwa outing 'haongei', je ni mazingira/wakati gani huwa 'anaongea'? Anapenda nini?

Inaweza kuwa anakupenda (ankutamani) kupindukia hivyo akikuona tu 'migenye' inampanda maradufu na 'kumpalalaizi' mpaka anashindwa kuongea. Labda ukimtoa out anafikiria unaenda "kumpa", sasa wewe unaishia kumnywesha misoda na kumpigia mistori ya escrow!
 
Mkuu unaendaje Date na "Mtoto" unategemea nini?? Kuna mtoto anajua Escrow&Co ..?? umeshaona tatizo lilipo.!!!! haahaha Muulize mambo ya Tom&Jerry Ben10 dexta N.k uone kama hajui......!!!!

Hahahahaaaaa
umeniua....
teh teh teh....
Ni shidaaa
 
Inawezekana maongezi yako yanambore....

Outing utaongeaje mabo ya mkurunzinza???
 
jaribu kuwa mbunifu kaka we vip eti escrow kwahyo hyo dating yenu mnaendaga bungeni au??
kuna mambo mengi ya kujadili esp yanayohusu mahusiano yenu sasa hayo mambo tena ya maiwedha duu!! huenda anakushangaa kulingana na topics zako ndo mana anaamua kukaa kimya!!
 
We jamaa vipi?

"eti bebi,fedha za escrow ni za umma au za IPTL?"

Kuku wa kienyeji unataka kumfuga kisasa?

Mahusiano yenu yana muda gani?
 

Number 3,,,, nimecheka saaaana. The truth
 


You said it all acronomy
 
Last edited by a moderator:
Bro next time jaribu Nkurunziza, huyo Mkurunzinza nadhani wengi hapa pia hawamfahamu.

Btw, ukute alisoma thread yako ile uliyosema umemfundisha mtoto wa watu mchezo mchafu halafu unataka kummwaga uoe mwingine. Huwezi jua man.
 
Wewe inaonekana muongeaji mnooooo wasichana wengi hawapendezwi nayo iyo
Ongea inapobidi nasio kila kitu na kila mada wajua wewe inachosha na kukeraaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…