Pichani ni Gaidi la Hamas huko Ukanda wa Gaza likiwa katika harakati zake za kurusha Kishada chenye kubeba moto kielekee upande wa Israel ili kikasababishe moto, alikwama baada ya Jeshi la Israel kumuwahi na kumrushia bomu la moshi la machozi usoni na kusababisha Atokwe na Moshi mwingi Mdomoni ,puani kabla hajaishiwa nguvu na kuzimika, aliweza kukimbizwa hospitali ya Jirani.[HASHTAG]#GAZA[/HASHTAG]> PICTURE OF THE DAY!
This terrorist was throwing a molotov kite towards Israel ... Failed.
He received a tear gas grenade in his face from the IDF soldiers!
And for more than a minute, this young Hamas terrorist was breathing smoke through his mouth and nose before collapsing and being transferred to a near by hospital.
[HASHTAG]#Gaza[/HASHTAG] [HASHTAG]#Terrorist[/HASHTAG] [HASHTAG]#Smoke[/HASHTAG]
H/t Laurant Kachauda
View attachment 797981
Mkuu Mlaleo umetafsiri ipasavyo.Big up!Pichani ni Gaidi la Hamas huko Ukanda wa Gaza likiwa katika harakati zake za kurusha Kishada chenye kubeba moto kielekee upande wa Israel ili kikasababishe moto, alikwama baada ya Jeshi la Israel kumuwahi na kumrushia bomu la moshi la machozi usoni na kusababisha Atokwe na Moshi mwingi Mdomoni ,puani kabla hajaishiwa nguvu na kuzimika, aliweza kukimbizwa hospitali ya Jirani.
Hilo Bomu nadhani lilizama Mdomoni tu... Washaambiwa waache kuchezeshwa mziki na Ayatollah wa Iran hawasikii wanabaki kuumia wao. kweli Mjinga ni Mjinga tu
Siyo guide,ni freedom fighter au mpiganampiganaji wa Hamas.Pichani ni Gaidi la Hamas huko Ukanda wa Gaza likiwa katika harakati zake za kurusha Kishada chenye kubeba moto kielekee upande wa Israel ili kikasababishe moto, alikwama baada ya Jeshi la Israel kumuwahi na kumrushia bomu la moshi la machozi usoni na kusababisha Atokwe na Moshi mwingi Mdomoni ,puani kabla hajaishiwa nguvu na kuzimika, aliweza kukimbizwa hospitali ya Jirani.
Hilo Bomu nadhani lilizama Mdomoni tu... Washaambiwa waache kuchezeshwa mziki na Ayatollah wa Iran hawasikii wanabaki kuumia wao. kweli Mjinga ni Mjinga tu