pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
Dini zetu muhimu sana mkuuWaza tu kuhusu dini zenu za kale kama Mugumo utakusaidia motoni uendekeze
Well, its not porn man!No pic, no vid... What the fuc.k is this Uzi!!!
Wazee huwa wanasema ukianguka huwa unaashiria kwamba tukio kubwa(positive au negative) linabisha mlangoni. Mti wa Mugumo ambao ulikuwa una miaka 300 ulianguka ghafla kabla ya Kenya kupata Uhuru.huo mti ukianguka huwa unaashiria nini mkuu?Au mizimu ya Dedan Kimath haifurahishwi na mafisadi wanavyotafuna keki ya taifa wkati wao walipoteza maisha sababu ya uhuru
Samahani jombaa sina picha yenyewe. Niliona habari yenyewe kwenye NTV news leo saa moja ila sijapata taarifa yenyewe kwenye Nation media online. Nikiipata ntaiweka hapa.Picha ulivyoanguka
aisee tunawaombea liwe tukio jemaWazee huwa wanasema ukianguka huwa unaashiria tukio kubwa(positive au negative) linabisha mlangoni. Mti wa Mugumo ambao ulikuwa una miaka 300 ulianguka ghafla kabla ya Kenya kupata Uhuru.
Ina maana enzi hizo babu zetu walikuwa wanamuabudu shetani? Kwanini basi tunamuita Mungu kwa majina ambayo babu zetu walikuwa wanatumia kumuita Mungu/Shetani wao?Waza tu kuhusu dini zenu za kale kama Mugumo utakusaidia motoni uendekeze
Haujaanguka kabisa mkuu, ukianguka watu huwa wanapanick sio mchezo. Kondoo huwa wanachinjwa na pombe za kiasili huwa zinapikwa. Kuna tetesi kwamba wanaume wote kwenye sehemu la tukio huwa wanalazimika kuiona papuchi kwa umbali sanaaa, kwa wiki mbili hivi! Yaani waafrika sijui kwanini hizi dini zetu za jadi huwa tunaona aibu hata kuziongelea tu.aisee tunawaombea liwe tukio jema
aahhah ahahhaHaujaanguka mkuu, ukianguka watu huwa wanapanick sio mchezo. Kondoo huwa wanachinjwa na pombe za kiasili huwa zinapikwa. Kuna tetesi kwamba wanaume wote kwenye sehemu la tukio huwa wanaiona papuchi kwa umbali sana, kwa wiki mbili hivi! Yaani waafrika sijui kwanini hizi dini zetu za jadi huwa tunaona aibu hata kuziongelea tu.
Mti wa Mugumo ulikuwa mtakatifu kwasababu babu zetu walikuwa wanafanya maombi kwa Mungu chini ya mti huo. Sio uchawi. Tena hawakuwa wanaabudu miungu, bali ni Mungu mmoja. Sanasana maombi yalikuwa yanafanyika chini ya mti huo wakati wa kiangazi. Huwa wanasimulia kwamba walikuwa wakikesha chini ya mti huo na wakati wa kuenda zao nyumbani mvua ulikuwa unanyesha.Wakenya ni wanga ila wako bize kunyooshea vidole nchi zingine.
Owky mkuu shukrani kwa kunielewesha na nimependa maarifa yako....Ina maana enzi hizo babu zetu walikuwa wanamuabudu shetani? Kwanini basi tunamuita Mungu kwa majina ambayo babu zetu walikuwa wanatumia kumuita Mungu/Shetani wao?
Wachawi kama wewe hawakuwa wanakubuliwa wautie najis mti huo mtakatifu kwa kuukaribia.Hii si Dalili nzuri japokuwa uli-recover.