Tukio jipya duniani

Tukio jipya duniani

pipikijiti

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2017
Posts
309
Reaction score
407
07b90eeed047bcee6a6ebfb84247a532.jpg
9fb9c5c66384075f8f51e15348460fe2.jpg

Alafu inasemekana ngono inayofanywa kawaida ya dume la simba na jike la simba uchukua muda mfupi mpaka kumaliza yani ni chini ya dakika moja lakini kwa ngono iliyofanywa na simba hawa madume ilichukua zaidi ya dakika moja haijafahamika ni kwanini,,,,

A joke: mwambieni diamond abadili jina,simba wamemuaibisha
 
Hii ni balaaa aiseeee hata simba wameanza kupeana mambo ya uani.
 
Hebu google gay animal utaona sio hao tu
 
07b90eeed047bcee6a6ebfb84247a532.jpg
9fb9c5c66384075f8f51e15348460fe2.jpg

Alafu inasemekana ngono inayofanywa kawaida ya dume la simba na jike la simba uchukua muda mfupi mpaka kumaliza yani ni chini ya dakika moja lakini kwa ngono iliyofanywa na simba hawa madume ilichukua zaidi ya dakika moja haijafahamika ni kwanini,,,,

A joke: mwambieni diamond abadili jina,simba wamemuaibisha
Kwa hiyo?
 
A joke: mwambieni diamond abadili jina ,simba wamemuaibisha
Labda walinogewa
 
07b90eeed047bcee6a6ebfb84247a532.jpg
9fb9c5c66384075f8f51e15348460fe2.jpg

Alafu inasemekana ngono inayofanywa kawaida ya dume la simba na jike la simba uchukua muda mfupi mpaka kumaliza yani ni chini ya dakika moja lakini kwa ngono iliyofanywa na simba hawa madume ilichukua zaidi ya dakika moja haijafahamika ni kwanini,,,,

A joke: mwambieni diamond abadili jina,simba wamemuaibisha
Matopeni nao,Simba wamewaaibisha,Simba mmeaibisha.
 
Mbona nilishashuhudia Zanzibar uwanja wa mpira karibu na darajani mbuzi mabeberu walikua wanapelekeshana wao kwa wao.
 
Hao watakuwa wameimportiwa kutoka ulaya au USA. Africa hatuna utamaduni huo
 
Back
Top Bottom