Tukiilaumu CCM tunaionea tu!!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,903
2,884
Upinzani tanzania umeshindwa kabisa kujijenga kila mara wanatoa fursa kwa ccm kuwavuruga kwa kutumia mamluki wake kama kina Lowassa, Lipumba, Mrema na wengine wengi. Kwanini hawakui!?
 
Acha mambo ya kitoto. CCM mkiharibu mambo mnatupa lawama kwa wapinzani. Hivi mtakuwa lini nyie?
 
Back
Top Bottom