kwisha JF-Expert Member Joined Sep 9, 2021 Posts 1,793 Reaction score 5,042 Apr 15, 2023 #1 Wapo watu wana amini ukifa unazaliwa tena (reincarnation) Yaani kinacho kufa ni mwili wako lakini roho yako bado itabaki inaishi apa duniani ndani ya mwili wa mtu mwingine Kama ni kweli basi mimi nitakuwa na roho wa Abunuwasi Yaani mimi ni Abunuwasi mtupu
Wapo watu wana amini ukifa unazaliwa tena (reincarnation) Yaani kinacho kufa ni mwili wako lakini roho yako bado itabaki inaishi apa duniani ndani ya mwili wa mtu mwingine Kama ni kweli basi mimi nitakuwa na roho wa Abunuwasi Yaani mimi ni Abunuwasi mtupu
whiteskunk JF-Expert Member Joined Jul 24, 2021 Posts 3,928 Reaction score 9,448 Apr 15, 2023 #2 Hakuna, ukifa umekufa ndo maana unaoza, hakuna roho wala nini. Muhimu ukifa uache mali
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,136 Apr 15, 2023 #3 whiteskunk said: Hakuna, ukifa umekufa ndo maana unaoza, hakuna roho wala nini. Muhimu ukifa uache mali Click to expand... Mali umuachie nani..inakusaidiaje ukiwa umekufa?
whiteskunk said: Hakuna, ukifa umekufa ndo maana unaoza, hakuna roho wala nini. Muhimu ukifa uache mali Click to expand... Mali umuachie nani..inakusaidiaje ukiwa umekufa?
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 13,300 Reaction score 37,657 Apr 15, 2023 #4 Ndyo Mm nilikufa ujerumani nimezaliwa Tanzania
whiteskunk JF-Expert Member Joined Jul 24, 2021 Posts 3,928 Reaction score 9,448 Apr 15, 2023 #5 myoyambendi said: Mali umuachie nani..inakusaidiaje ukiwa umekufa? Click to expand... Watoto wako, usiwape watu mzigo wa kulea
myoyambendi said: Mali umuachie nani..inakusaidiaje ukiwa umekufa? Click to expand... Watoto wako, usiwape watu mzigo wa kulea
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,815 Reaction score 10,717 Apr 15, 2023 #6 Siku ya kufa yajaaaaaaa
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,820 Reaction score 113,384 Apr 15, 2023 #7 Ukifa umekufa hayo maswala ya kuzaliwa upya ni imani na ni yakufikirika tu wenye ushahidi watushuhudie.
Ukifa umekufa hayo maswala ya kuzaliwa upya ni imani na ni yakufikirika tu wenye ushahidi watushuhudie.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,136 Apr 15, 2023 #8 whiteskunk said: Watoto wako, usiwape watu mzigo wa kulea Click to expand... Aisee..
Eyce JF-Expert Member Joined Mar 16, 2016 Posts 8,312 Reaction score 28,481 Apr 15, 2023 #9 Ila dunia hii inavyozidi kuwa nzito asee, kama ni kitu cha kweli itabidi muumbaji wetu atupe option maana saa hii kuna baadhi yetu tungepewa option ya kuzaliwa ama kutokuzaliwa kutokana na hekaheka tunazopambana nazo duniani. Walahi tusingekubali 😁
Ila dunia hii inavyozidi kuwa nzito asee, kama ni kitu cha kweli itabidi muumbaji wetu atupe option maana saa hii kuna baadhi yetu tungepewa option ya kuzaliwa ama kutokuzaliwa kutokana na hekaheka tunazopambana nazo duniani. Walahi tusingekubali 😁
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,567 Reaction score 29,684 Apr 15, 2023 #10 MUULIZE KABUDI MKUU YULE MAISHA YA ZAMANI ALIKUWA NAIBU WA JESHI LA OTTOMAN