MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Ninyi tuache tu utani, nchi hii kila kona inaliwa vibaya mno! Hivi mnaweza kujua kwenye gas ya juzi tu iliyotoka mtwara tubapigwa kiasi gani? Fuatilieni mpate hata nakala moja ya mikataba ndio mtajua tu kua sio madini tu kuna mengi.
Nendeni mkaangalie mbuga za wanyama kule, wawekezaji wa uwindani wamepewa vibali vya kuwinda wanyama gani na wanaua wanyama gani? Mnajua mikata ya waliopewa vitalu vya kuwinda?
Nendeni mkaangalie mbuga za wanyama kule, wawekezaji wa uwindani wamepewa vibali vya kuwinda wanyama gani na wanaua wanyama gani? Mnajua mikata ya waliopewa vitalu vya kuwinda?