Tukiacha MA DC na MA RC labda na baadhi ya Mawaziri , kuna mwingine anaiunga mkono CCM kwa sasa ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,687
239,245
Tuseme ule ukweli kabisa , kwa yanayoendelea nchini Tanzania hivi sasa , kuna mzee au kijana anaweza kutamba hadharani kwamba yeye ni mwanaccm na anaiunga mkono ?

Kwa binadamu aliyeumbwa na aibu , yako mambo ambayo hawezi kuyafanya hadharani , iko hivyo jamani , na hasa mambo ya aibu na yenye kufedhehesha .
 
Wewe mama wa kihindi wewe acha uongo. Hivi hili bandiko lako umelisoma kweli. CCM inao wenyeviti wa ccm kila mkoa, kila wilaya. Pia inao makatibu wakuu kila mkoa kila wilaya kila kata kila kijiji. Wote hao wanalipwa na ccm wote hao hawaiungi mkono ccm isipokuwa ma rc na ma dc?
Acha uongo wa mhana. Au nyie chadema huwa mnao ugonjwa wa akili. Hata wiki haijaisha mmemaliza kuwalaumu wabunge wa ccm kuwa wamefata maelekezo ya chama chao kuwakataa Wenje na Masha. Kwa hili bandiko lako nahitimisha kwa kusema: WAFUASI WA CHADEMA MITANDAONI WANAYO MATATIZO YA AKILI.
 
Viongozi wengi wa ccm wa Mikoa , wilaya , kata , vijiji na mashina hawaungi mkono ccm , wapo pale kwa masilahi tu, ninao ushahidi .
 
Tuseme ule ukweli kabisa , kwa yanayoendelea nchini Tanzania hivi sasa , kuna mzee au kijana anaweza kutamba hadharani kwamba yeye ni mwanaccm na anaiunga mkono ?

Kwa binadamu aliyeumbwa na aibu , yako mambo ambayo hawezi kuyafanya hadharani , iko hivyo jamani , na hasa mambo ya aibu na yenye kufedhehesha .
Unaachaje kuiunga mkono ccm chini ya Dr Magu?? Usipounga ccm mkono utaunga chama gani kwa mfano?? Labda usiwe na chama chochote.
 
Mm pia mana hawajanikosea wakikaa madarakani sifaidk wakiondoka ndo kabisa ñna mambo yangu yananiendea bac ata cna mda. Ila nawapenda sana hawa jamaa wawepo miaka 100000 bado nawahitaji kutoka kumoyo. CCM mbele kwa mbele, Mapinduziii Daima mbele na mtaendelea kuisoma namba mnaoshabikia uchochezi mkaacha kufanya kaz apo apo Magufuli hamna kulegeza mwendo mdundo
 
Viongozi wengi wa ccm wa Mikoa , wilaya , kata , vijiji na mashina hawaungi mkono ccm , wapo pale kwa masilahi tu, ninao ushahidi .
Huenda nahau hii kuunga mkono huiju maana yake. Hivi ukienda kumwambia maneno haya Mbowe,Mdee, Lisu wenje na Masha wanakuelewa kweli hasa kuzingatia kilichotokea bungeni wiki iliyopita. Bado nahitimisha WAFUASI WA CHADEMA MITANDAONI WANAYO MATATIZO YA AKILI
 
Hakuna wengi wameamua kuiga kuvaa nguo za Chadema za ngazingazi maana wanajutia kuichagua ccm,kwani sera sasa ni utekaji watu wanaokosoa madudu wanayofanya.
 
Hatuna sehemu ya kuhamia labda kubaki bila chama.
Na mbaya zaidi pale unapokuta Siasa(Bashite), Dini(Gwajima) na Muziki(Diamond) vinapochanganywa....ni hatari....Siasa,dini,na Muziki kamwe haviwezi kwenda sambamba.........................................
 
Back
Top Bottom