Tukiacha kuhonga hakuna mwanamke atadanga

Mkiacha kuwahonga wanawake mtashtukia nyie wanaume ndo mnahongwa na mtaanza kudanga. Hii kitu inaambukiza shauri lenu..

Msije kusema hamkuambiwa
Huyu anatutisha na hakuna kutishika . Mwanaume haogopi chochote.

Kauli ni moja hakuna kuwa honga ili wakae kwenye reli
 
Kuna mama ni fundi nguo mpaka sasa ana nyumba mbili

Ila wadangaji wengine kwasasa wanatumia dawa za kienyeji,tuweni makini
 
Dispensary na pharmacy yake [emoji12][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bado hujasema
 
Nikuache ebu kwanza 😂😂😂
 
Vyoyote mtakavyo kubaliana Binafsi Mimi sitaacha kuonga
 
Umeongea point kubwa na umenigusa kiufupi,mimi kuna demu mkali kinoma alinipenda sana yaani ila kabla sijatia neno tu zee moja likamuonga prado na ujenzi juu mpaka leo tulitawanyika ila mtoto akiniona tu anabadilika kabisa mpaka nilipohama mkoa still insta ananifuatilia kinoma ingawa hatujafolowliana ,wanaume tuache kuhonga huyu angekuwa wangu kabisa
 
Binafsi nachukulia ngono Kama starehe ya watu. Wa hali ya chini so kwangu ngono siwezi kuitengea bajeti nikaacha kunywa Jack Daniel ,Nyama ya mbuzi n.k nianze kuangaika na wanawake hiyo siwezi big no Mimi friji lazima likae full Nyama full foili yaani starehe zangu hazimuhusishi Mwanamke.
 
Labda vichwa vya chini visifanye kazi ndio wataacha kuhonga.
 
Nikuache ebu kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo ulipania niwe na furaha muda wote? Toka asubuhi mwendo ni huu tu[emoji23][emoji23]

Katika vyote sikujua ungeibuka na hili[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Labda vichwa vya chini visifanye kazi ndio wataacha kuhonga.
 
Haitatokea,Mimi mpaka leo namuhonga shemeji yenu na nimemuoa kabisaa,hawa wenzetu wameumbwa kupokea akikupa jua ni Mtego Au upendo kazi kwako kumbuka ya Adam na hawa.

Mhonge tu huna namna mzee,
 
Ulikosea sana. Wanaonekana hivyo kwa hali ya kazi yao. Alivaa suti huwezi kununua mahindi yake. Lakini jiulize. Auze mahindi 30. Kila hindi anapata 500. Kwa siku 15,000. Chakula anatafuna kipande cha muhimu wake na maji. Siku inapita. Ukiwa mwezi atabaki na ngapi? Kwa mwaka je?
 
Unakosea sana. Wanaonekana hivyo kwa hali ya kazi yao. Akivaa suti huwezi kununua mahindi yake. Lakini jiulize. Auze mahindi 30. Kila hindi anapata 500. Kwa siku 15,000. Chakula anatafuna kipande cha muhimu wake na maji. Siku inapita. Ukiwa mwezi atabaki na ngapi? Kwa mwaka je?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Oddo wa maokoto anaumiza kichwa bado
Odo namkubali sana, hana kona kona[emoji23]
Sisi wengine tukipandilia dau, sijui itakuwaje[emoji23]
Huu mwaka uishe tu ama vipi?
 
Mkiacha kuwahonga wanawake mtashtukia nyie wanaume ndo mnahongwa na mtaanza kudanga. Hii kitu inaambukiza shauri lenu..

Msije kusema hamkuambiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna wanahongwa na wanadanga pia? Au wahongwe na kudanga mara ngapii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…