Tukate kiu kwanza...., halafu....!!!!

Dan sijawahi kuchangia post zako ila hii nimeipenda huko ndo dunia inapo elekea
 
Mshana hii inaonyesha urafiki wa kinafiki
 
Kwa mi hii picha naona imepigwa uwaarabuni maana naona kule kuna mitende tena kaijua kulenga karibu na hakuwa mbali sana
 
Huenda huyo zebra ni mchepuko wa simba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…