Tujuzane Novels nzuri

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
1,941
Reaction score
2,048
Habari za muda jf.

Kama kisemavo kichwa cha thread hii,Nimejikuta naanza kupenda sana kusoma novels hasa hichi kipindi cha sikukuu,Nilianza na moja inaitwa "A KIND OF LOVING" pia nikasoma "MY NOT PERFECT LIFE" na nyingine kama tatu.Hizo zikiwa ni zile ninazozipenda so far....!! Nimekwisha kusoma novels kama tano mpaka sasa hivi na nimegundua zina umuhimu mkubwa sana mpaka najiona nimechelewa kuanza ila hakuna shida maana wanasema "Bora kuchelewa kuliko kutokufika kabisa."

Nipo interested sana kuendelea kusoma na kusoma novels nyingi zaidi bila kujali itanigharimu muda kwa kiasi gani!!! Basi ningependa tu-share kwa pamoja zile novels ambazo ni nzuri iwe za kiswahili au hata kiingereza pia.
 
Soma ya Danielle Steel- Star
Kama utapenda za kipelelezi tafuta za James Hadley Chase, ni nyingi sana hizo, kwa kuanzia anza na Believed violent, A lotus for miss Quon, Mission Vienna, A vulture is a patient bird, etc etc
 
Memories of midnight Sydney Sheldon
 
JHC Anajitahid sana ila inahitaji uwe na uvumilivu wakusoma page izo zaid ya 100
 
Hiyo 1 ya Daniel Steel ni kama 3 za JHC!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…