Varius JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 644 Reaction score 503 Apr 9, 2017 #1 Inakuaje wadau naomba tujuzane miezi ya mavuno ya mazao ya mahindi,karanga,mpunga,,korosho,alizeti,maharage na mazao mengine mengi ya chakula tuje tununue mazao na kuja kuuza mjini au kuhifadhi bei itakapokuwa nzuri.
Inakuaje wadau naomba tujuzane miezi ya mavuno ya mazao ya mahindi,karanga,mpunga,,korosho,alizeti,maharage na mazao mengine mengi ya chakula tuje tununue mazao na kuja kuuza mjini au kuhifadhi bei itakapokuwa nzuri.
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,863 Apr 9, 2017 #2 Mkoa wa Mara hasa wilaya ya Tarime mwezi wa 6 wanavuna mahindi.
Varius JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 644 Reaction score 503 Apr 9, 2017 Thread starter #3 Asante kwa reply mkuu. Jamani wa Njombe,Dodoma,Morogoro,Arusha na mikoa kadhalika mavuno lini wakubwa
Asante kwa reply mkuu. Jamani wa Njombe,Dodoma,Morogoro,Arusha na mikoa kadhalika mavuno lini wakubwa
Varius JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 644 Reaction score 503 Apr 9, 2017 Thread starter #4 Molembe said: Mkoa wa Mara hasa wilaya ya Tarime mwezi wa 6 wanavuna mahindi. Click to expand... Mkubwa vipi wilaya ya Serengeti mavuno ya mtama ule mwekundu ni lini
Molembe said: Mkoa wa Mara hasa wilaya ya Tarime mwezi wa 6 wanavuna mahindi. Click to expand... Mkubwa vipi wilaya ya Serengeti mavuno ya mtama ule mwekundu ni lini